Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Ukiona uzi umefufuliwa ujue kuna jambo
 
Si ajabu anapewa tundu dogo
 
Hiyo gari zamaradi kanunua mwenyewe kauza nyumba aliyo achiwa na Ruge kwa ajili ya watoto wake!
Hizo pesa kagawana na mama mwingine ambaye alizaa mtoto mmoja na Ruge!
Hakuna cha mumewe wala mavi ya mumewe kumnunulia hilo gari, kajinunulia mwenyewe [emoji35] what a shame [emoji35]
Unauza nyumba na kununua gari [emoji35]
Wanawake msidanganyike hamna hicho kitu walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…