Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Turejee yaliyopita na ya sasaRafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Turejee yaliyopita na ya sasaRafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
Kuna nini hukooo jamaniTurejee yaliyopita na ya sasa
Ya Harmo na Kaj1Kuna nini hukooo jamani
Si ajabu anapewa tundu dogoZamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM.
Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu huku ulikuwa single maza na watoto watatu juu siyo kawaida kabisa, dada mshukuru Sana mungu kwa hilo, siyo Jambo dogo kabisa hili.
Ila pia naambiwa mhongaji anatokea Royal family moja kubwa hapa nchini haijajulikana ni ipi hadi sasa.
Kudos Sana mhongaji uko vizuri ilisemekana wee ni mmoja wa watu wanaopata furaha Sana ktk mapenzi konde boy haoni ndani.
View attachment 2411275View attachment 2411276
Ni vile tu shida zinakuja zenyewe lkn hakuna mwanamke anayependa shida hata kidogo!!Wanawake wa kibongo mnapenda vitonga aisee!