Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Rafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
 
Ile mission town ilimuuma sana daah. Ukweli ni kwamba hio gari kajinunulia maana hata nyumba wanayoishi alijenga ruge kwa ajili ya wanae. Zama analea kama shamte anavvyolelewa na familia ya domo
Kumbe ndio hbr zao ila kjn inasemekana Ni kijna wa royal family
 
Rafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
Hpn bhna hamuwez zinguana na Kisha Kuja public kupeana zawadi

Nasiki Valentine's inayokuja mji yote mikubwa itawekwa bango lake la kielectronic
 
Sasa mabinti zangu wataanza kuwaambia wapenzi wao nieleze nitafanya chochote kwa ajili yako, mnakuja kuambulia chips kuku na marinda yametatuliwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umenikumbusha mbali wkt wa ujio wa iPhone 14 ,kuna jamaa alisema HV HV sijui Ni wee ,eti mademu marinda hayata pona kupambania iPhone 14
 
Kufurahia mafanikio ya binadamu mwingine, ni hatua ya kwanza ya ukomavu wa akili na hisia......
Tumtegemee Mungu, tufanye kazi kwa bidii na tuache majungu & wivu, yote yanawezekana.......
Nakuelewa sna wakili msomi

By the way lile swala la laws school limefikiwa wapi mkuu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…