Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Zamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM.

Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu huku ulikuwa single maza na watoto watatu juu siyo kawaida kabisa, dada mshukuru Sana mungu kwa hilo, siyo Jambo dogo kabisa hili.

Ila pia naambiwa mhongaji anatokea Royal family moja kubwa hapa nchini haijajulikana ni ipi hadi sasa.


Kudos Sana mhongaji uko vizuri ilisemekana wee ni mmoja wa watu wanaopata furaha Sana ktk mapenzi konde boy haoni ndani.
View attachment 2411275View attachment 2411276
Rafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
 
Ile mission town ilimuuma sana daah. Ukweli ni kwamba hio gari kajinunulia maana hata nyumba wanayoishi alijenga ruge kwa ajili ya wanae. Zama analea kama shamte anavvyolelewa na familia ya domo
Kumbe ndio hbr zao ila kjn inasemekana Ni kijna wa royal family
 
Rafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
Hpn bhna hamuwez zinguana na Kisha Kuja public kupeana zawadi

Nasiki Valentine's inayokuja mji yote mikubwa itawekwa bango lake la kielectronic
 
Sasa mabinti zangu wataanza kuwaambia wapenzi wao nieleze nitafanya chochote kwa ajili yako, mnakuja kuambulia chips kuku na marinda yametatuliwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umenikumbusha mbali wkt wa ujio wa iPhone 14 ,kuna jamaa alisema HV HV sijui Ni wee ,eti mademu marinda hayata pona kupambania iPhone 14
 
Kufurahia mafanikio ya binadamu mwingine, ni hatua ya kwanza ya ukomavu wa akili na hisia......
Tumtegemee Mungu, tufanye kazi kwa bidii na tuache majungu & wivu, yote yanawezekana.......
Nakuelewa sna wakili msomi

By the way lile swala la laws school limefikiwa wapi mkuu[emoji23]
 
Back
Top Bottom