[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha mbali wkt wa ujio wa iPhone 14 ,kuna jamaa alisema HV HV sijui Ni wee ,eti mademu marinda hayata pona kupambania iPhone 14
Huo ndio ukweli usiwaone wanaringishia iphone 14 kama mafanikio pale wakikaa au kuinama hewa inatoka yenyewe, mbele za watu wanacheka lakini mioyoni wanalia sana