Mzee Mapenzi
Senior Member
- Jan 9, 2019
- 122
- 439
- Thread starter
-
- #21
Huwez kusahau kitu ulichokarrUnaifuta namba ila kabla ya kuifuta unainakili namba sehemu nyingine na kuihifadhi.
Au unafuta namba ambayo umeikariri kichwani piga ua husahau.
Namba ya mpenzi ambaye uliiva nae ni kama ABC, husahau hovyo..Huwez kusahau kitu ulichokarr
Mwenza huwa unazishika kichwani? Mie kichwa panzi hata siwezi.Mimi ukinichosha wiki mbili nyingi namba nasahau kabisa
Ikawaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alinikera,nikasusa,nikafuta namba zake. Bahati mbaya sijazishika kichwani maana hata zangu sijashika.
Nikammiss kweli alafu siwezi kumtafuta, basi kila simu ikiita natamani awe yeye. Akaninyoosha kwanza for one week, then ndio akaja kupiga. Alivyopiga nikawa kama nishaanza kuzoea kuishi bila yeye.
Kiasi tuDuh! Inaonekana unampenda kufa aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] malizia.Ikawaje
Bado imekukaa kichwani lakiniNimetoka kufuta namba sasa hivi yaani nimefuta hata ushahidi sitaki uwepo ....msiiiiew
Hatimaye mkaachana rasmi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alinikera,nikasusa,nikafuta namba zake. Bahati mbaya sijazishika kichwani maana hata zangu sijashika.
Nikammiss kweli alafu siwezi kumtafuta, basi kila simu ikiita natamani awe yeye. Akaninyoosha kwanza for one week, then ndio akaja kupiga. Alivyopiga nikawa kama nishaanza kuzoea kuishi bila yeye.
Uzuri huwa sikariri namba za mtu kichwani zaidi ya zangu mwenyewe...na za mamangu tu full stopBado imekukaa kichwani lakini
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kumbe hii ya kusubiri mwito wa simu ni kwa wote????......yaani Leo nina stress kila text nachungulia siyee jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alinikera,nikasusa,nikafuta namba zake. Bahati mbaya sijazishika kichwani maana hata zangu sijashika.
Nikammiss kweli alafu siwezi kumtafuta, basi kila simu ikiita natamani awe yeye. Akaninyoosha kwanza for one week, then ndio akaja kupiga. Alivyopiga nikawa kama nishaanza kuzoea kuishi bila yeye.
Wachaa weeeee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kumbe hii ya kusubiri mwito wa simu ni kwa wote????......yaani Leo nina stress kila text nachungulia siyee jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kumbe hii ya kusubiri mwito wa simu ni kwa wote????......yaani Leo nina stress kila text nachungulia siyee jamani
Yaani kona zote nimefuta ....kwa hasira call history yote nimepiga delete all[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe umefuta namba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kona zote nimefuta ....kwa hasira call history yote nimepiga delete all
WhatsApp kote futaaa simu zote nimesafisha hakuna hata alama ya namba zake ...bora nipate stress za muda mfupi kuliko kero za kila siku