Kuwa single wakati ulishaonja harufu ya mahaba ni ngumu mnooo.....ila huwa tunaishi kibishi tu hakuna namnaWachaa weeeee
kweli hakuna anayependa kuwa single
[emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi aliniudhi nikajikuta ninja kwa hasira nikafuta namba bila kukariri kichwani wala sehemu.. Bahati mbaya kuna ela nilikua nimemuazima ile nafuta tu namba ndo nikakumbuka ana ela yangu_ nilijuta sana asieh sema njaa mbaya sana siku nimekula mkate na maji mbona niliikumbuka automatic
Ndio.Hatimaye mkaachana rasmi
Ila kupasha kipolo mara moja moja kupoKuwa single wakati ulishaonja harufu ya mahaba ni ngumu mnooo.....ila huwa tunaishi kibishi tu hakuna namna
Hii sitaki kusikiaIla kupasha kipolo mara moja moja kupo
Jimbo limeshakuliwa. Au tume inaweza kuitisha uchaguzi ?Ndio.
😂😂😂😂Mi aliniudhi nikajikuta ninja kwa hasira nikafuta namba bila kukariri kichwani wala sehemu.. Bahati mbaya kuna ela nilikua nimemuazima ile nafuta tu namba ndo nikakumbuka ana ela yangu_ nilijuta sana asieh sema njaa mbaya sana siku nimekula mkate na maji mbona niliikumbuka automatic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kweli njaa mwanaharamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko kama ex wangu nikimboa ata-edit jina langu kulingana na nilichomfanyiaAkiniboa huwa naedit naweka jina lake kabisa
Siwezi kumblock aseee
Bila shaka wewe ni singo Dada, tupe kidogo sogaMa single maza na faza mnajadili uhuni wenu humu.
kabla ya kukuboa unaweka jina gani?Akiniboa huwa naedit naweka jina lake kabisa
Siwezi kumblock aseee
My smart asskabla ya kukuboa unaweka jina gani?
Tupo wengi, na edit jina lile la utamu nampachika jina lake kama mtu wa kawaidaAkiniboa huwa naedit naweka jina lake kabisa
Siwezi kumblock aseee
sawaMy smart ass