Mnagombana unanuna, unafuta namba zake za simu, badae unasave tena; hakika mapenzi nyoso.

Mi aliniudhi nikajikuta ninja kwa hasira nikafuta namba bila kukariri kichwani wala sehemu.. Bahati mbaya kuna ela nilikua nimemuazima ile nafuta tu namba ndo nikakumbuka ana ela yangu_ nilijuta sana asieh sema njaa mbaya sana siku nimekula mkate na maji mbona niliikumbuka automatic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi aliniudhi nikajikuta ninja kwa hasira nikafuta namba bila kukariri kichwani wala sehemu.. Bahati mbaya kuna ela nilikua nimemuazima ile nafuta tu namba ndo nikakumbuka ana ela yangu_ nilijuta sana asieh sema njaa mbaya sana siku nimekula mkate na maji mbona niliikumbuka automatic
😂😂😂😂
kweli njaa mwanaharamu
 
Alinikera nkamblock afu nkapiga kimya kama mwezi mmoja ivi, siku nakuja kumtafuta kabadili namba, hapatikani kabisa. It had been six months since then, nmeshindwa kumsahau kabisa, mbaya zaid halipokua kapanga kahama, sijui ntampata vipi., I real love her naomba Mungu anitafute,, sitafanya tena ujinga huu.
 
Ma single maza na faza mnajadili uhuni wenu humu.
 
Back
Top Bottom