Mnahubiri nishati safi halafu hamshushi gharama za gesi wala umeme, watu wapikie upepo?

Alafu unasikia wanasema wametenga bilioni kadhaa za kujenga makumbusho ya marais, wakati wangeweza kutumia pesa hizo kama ruzuku ya kushusha gesi
 
Ni utawala kobaz mwenzenu mwambieni hilo
 
Kwenye maswala kama haya tuko pamoja sana sio kule Iran mkuu sisi sio Wairan wala wayahudi sisi ni watanganyika.
 
Lucas Mwashambwa njoo huku umtetee zezeta wako
 
Anachokihubiri huyu mama sicho anachotenda, anahimiza watu walipe kodi huku mshahara wake haukatwi kodi, kwanini yeye asiwe mfano? hatuna kiongozi hapa tuna mtawala pekee
 
Ni kawaida Yako kukurupuka na Wala Huwa huelewi unachoandika Bali unaropoka tuu.

Haya soma hii mikataba hapa inlalenga kupunguza bei ya kitu gani then ufute upuuzi wako ulioandika 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_3Fcartw6K/?igsh=dTlqeDRvaTdxOHhq
 
Umenyoosha sana.... ungetoa na ushauri nin kifanyike
 
Msukuma aliwauliza kuna magari mangapi ya wakubwa na wahamasishaji wa clean energy yanatumia gas, wakabaki kushangaana wao kwa wao
 
Gesi tunayotumia inaagizwa toka nje sisi hatuna gesi ya matumizi yetu kikamilifu hadi hapo wenye gesi watakapo amua vinginevyo na huenda inaenda kwao chini kwa chini cha ajabu unaweza ukaona yanayo fanyika huku kwenye machimbo yao ya gesi ukiwa uingereza kwa kutumia mitambo liyosimikwa huko uingereza.

I like technology changes similarly to adaptability skills but hate to deal with smart people when am not smart

Mwl Nyerere, (baba wa Taifaz), alitupa waosia kwamba tuelimishe kwanza watu wetu wakisha elimika ndiyo tujihusishe na madini.

Swali fikirishi je watu wetu wamelimika na kama wamepata elimu ya uhakika mbona hawajitegemei kwenye hii miradi mikubwa sawa hawana mitaji kwanini wanaahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data kwa kuingia mikataba ya siri na mibovu?

Mtu ambaye hana ufahamu hawezi kuingia mikataba ya siri na mibovu, unapo fanya kitu kwa siri ina maana unakuwa na ufahamu wa kutosha.

Mimi nilipo ona kwamba mitambo ya kuchunguza kinachoendelea huko kwenye utafiti wa machimbo ya gesi iko uingereza nilisikia harufu ya panya, (I smelled a rat that there is something fishy). Let us cross our fingers for the prosperous of our Nation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…