Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Maisha hayana formula, Maisha ni mchakato na mafanikio ni pale bahati inapokutana na michakato na mapambano yako kujumlisha na pale utakapokuwa sehemu sahihi ambayo mwanga wa bahati utakapo pita ukumilke wewe.
Mimi nafikiri unapoipata bahati ya mafanikio kitakacho fata ni wewe kuwa humble, sio kwamba umewazidi wengine ujanja au juhudi ni basi tu zawadi hii special imekufikia wewe.
BE HUMBLE.