Mnaikumbuka hii picha ya huyu mwamba anae wabeza wasomi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870


Maisha hayana formula, Maisha ni mchakato na mafanikio ni pale bahati inapokutana na michakato na mapambano yako kujumlisha na pale utakapokuwa sehemu sahihi ambayo mwanga wa bahati utakapo pita ukumilke wewe.

Mimi nafikiri unapoipata bahati ya mafanikio kitakacho fata ni wewe kuwa humble, sio kwamba umewazidi wengine ujanja au juhudi ni basi tu zawadi hii special imekufikia wewe.

BE HUMBLE.
 
Angeshikiria gazeti moja ningesema anafanya mazoezi
 
Ukute page aliyokuwa anasoma ilikuwa imegeuzwa mkuu
 
Mungu humpa amtakaye,na humnyima amtakaye!
 
Huyo Doto Magari ni mchekeshaji so kama huchukulii mambo serious wala hasumbui,,anatumia njia ya kuponda wasomi kama kinogesho kwenye biashara anayoipromot ya magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…