Mnaionaje hii show ya "Refresh" kutoka Wasafi Tv?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Kuna show moja ya Wasafi TV inaitwa Refresh,ni show inahusu habari za wasanii japo si show ngeni sana coz kuna Enewz ya EATV na clouds kuna Clouds E inafanywa na Shadee,but binafsi nimeilewa sana kutokana na ubunifu wake na aina ya mtangazaji anaitwa Lia ana swaga flan nzuri sana na madoida ya kupendezesha kipindi chake.

Natabiria makubwa sana hii show na mtangazaji wake atafika mbali sana...wito kwa Wasafi Media kumlinda huyo dada asijechukuliwa na Media nyingine kwa sababu za kimaslahi au whatever....
 
[emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuko wengi shosti yaani Mimi wabongo nilishasahau!
Wabongo labda taarifa ya habari lakin nayo inanipita nakua zangu busy na Paloma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo labda taarifa ya habari lakin nayo inanipita nakua zangu busy na Paloma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14]Helena Olivares achaaaaa!!!!
 
Yaani na diego sanchez.
Nikimaliza hapo kwa Manuel na Maria Fernanda [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] saaaafiii!kabisaa baada ya hapo!usiku mwema
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] saaaafiii!kabisaa baada ya hapo!usiku mwema
Kwakweli usingizi mwororoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Channels za kibongo zitusamehe tu
 
Yaani na diego sanchez.
Nikimaliza hapo kwa Manuel na Maria Fernanda [emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto wa Kishua utawajua tu,yani mi niache kumuangalia Zembwela na uswazi yake au mizengwe niangalie wakina MariaRosa sijui wakina Angelo hahahahaha haiwezekani...
 
We chinga ni team Wasafi kwa hiyo unaweza kusifia chochote kile kutoka Wasafi tunaomba hapa video ya kipindi tuhakikishe inachokisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…