Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kuna show moja ya Wasafi TV inaitwa Refresh,ni show inahusu habari za wasanii japo si show ngeni sana coz kuna Enewz ya EATV na clouds kuna Clouds E inafanywa na Shadee,but binafsi nimeilewa sana kutokana na ubunifu wake na aina ya mtangazaji anaitwa Lia ana swaga flan nzuri sana na madoida ya kupendezesha kipindi chake.
Natabiria makubwa sana hii show na mtangazaji wake atafika mbali sana...wito kwa Wasafi Media kumlinda huyo dada asijechukuliwa na Media nyingine kwa sababu za kimaslahi au whatever....
Natabiria makubwa sana hii show na mtangazaji wake atafika mbali sana...wito kwa Wasafi Media kumlinda huyo dada asijechukuliwa na Media nyingine kwa sababu za kimaslahi au whatever....