nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #41
of course, hi kweli ila sio wote wengine tupo serious na maisha ukiona wife analeta uswahili kama huu lazima uje juuLakini pia kuna Tabia za Wanaume kutumia pesa zao vibaya huku wakitegemea za Nwanamke. Hii hali inakela ndio maana mwanamke anajiwekea kaubahili ili ije kumsaidia baadae