Mnajidanganya: Kutokuandamana sio kuunga mkono!! TATIZO LIKO PALEPALE. kuzuia watu haina maana watu wanaunga mkono hivyo tatizo liko palepale na inawezekana linakuwa zaidi chinichini.
Watoto watakuwa vijana tena kwa kasi ya Tanzania mika mitatu tu kuna watoto wengi wanaingia miaka 18 hawa watoto huwezi kuwadanganya kwa itikadi wakati kuna mitandao!
Kuna majirani kama Kenya! ni kukimbiza upepo tu. Tumeshaona Magufuli hakutatua taitizo limekuwa kubwa zaidi na Samia hatatui tatizo Raisi ajae hataweza kabisa kuongoza nchi bila mabadiliko makubwa sana