GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa.
Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu huku JamiiForums ) wa kupenda 'Kitonga' kwa Kutembea na Wake za Watu Kiunafiki kabisa tunajifanya Kusikitika, Kuhoji na kujifanya ni FBI na kutaka Uchunguzi ( Upelelezi ) wa kina Ufanyike.
Mbona wakati Dogo ( Katibu ) anamkaza Mke wa Massanja hamkuja hapa JamiiForums Kumkanya na hata kutaka hao ( hawa ) Polisi Wamchunguze Dogo Katibu? Wanafiki wakubwa nyie.
Yaani GENTAMYCINE nijichange, nihangaike Kimaisha kisha Nioe Mke wangu halafu 'Ngala Ngala' Mmoja uje tu Unikazie 'Kisela' halafu nijue nikuache? Labda Mimi siyo Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi Kudadadeki...!!
99% ya Mlioanzisha Mada ( za Angle mbalimbali ) kuhusu Kuhoji na Kusikitika Kifo ( Kujiua ) kwa Katibu wa Massanja nanyi ndiyo Wabobezi wa Kuzikaza 'Mbunye' za Wanaume Wenzenu mbona nanyi hamtaki Uchunguzi wa Kina ufanyike dhidi yenu? Wanafiki wakubwa nyie.
Mimi Dogo awe Kajiua Kweli au hata Kauwawa ( Kimafia ) na Watu wa 'Kimkakati' wala sijali na sisikitiki ila naendelea Kusisitiza acheni kupenda 'Mbunye' za Wake za Watu wawe ni Matajiri au Masikini.
Mademu wamejaa tele ( tena mpaka wa Buku Buku ) na Wengine ni wa Kukopa ( Mali Kauli ) kama ambao GENTAMYCINE nawapata na nimebobea nao kwanini hadi ukahangaike na Mke wa Mtu / Wake za Watu wakati pengine nawe pia Nyumbani Kwako una Mke / Wake kwa ile Dini nyingine?
Wanafiki mtakaoenda katika Msiba wa huyo Dogo Mwizi wa Penzi la Mke wa Massanja mkatuwakilishe vyema ila Mimi GENTAMYCINE huwa nahudhuria Misiba yenye Vifo vilivyotokea kwa sababu za maana na za Kibinadamu kweli ila Misiba ya Kipuuzi ya Kujiua kwa Kuiba Penzi la Mtu au ya Kibaka na Jambazi na mingineyo huwa sina muda Mchafu wa Kuihudhuria na kuna muda hata Wanaoihudhuria pia huwa nawaona hawana Akili vile vile.
Wanafiki wakubwa kabisa nyie............!!!