Watu wanasikitikia kifo kwa sababu katika maisha haya tunayoyajua kifo ni final.
Yani hata kama unaamini alifanya uhuni, na uhuni ni mbaya, ni bora angeishi na kupata nafasi ya kubadili huo uhuni afanye mazuri.
Sasa amefariki, amepoteza nafasi zote za kubadili huo uhuni.
Kama kweli akifanya uhuni na kama kweli uhuni huo ni mbaya.
Kwa nini hili linakuwa gumu sana kuelewa?
Simple empathy, please.
Kwa nini Watanzania wengi ni makatili sana, hawana huruma wala ustaarabu, wakijificha katika kichaka cha haki?
Why beat up a dead body?
The fellow is dead already, have some mercy.