GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Wengi 'ninaowakaza' mwanzoni huniambia kuwa wako 'Single' au Wameachana na Wanaume wao ila baadae huamua Kufunguka Kwangu kuwa wana Mabwana na Mimi haraka sana huamua Kuachana nao.Vipi mkuu, wewe hujawahi kukaza mke wa mtu?
point mkuu!!Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa.
Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu huku JamiiForums ) wa kupenda 'Kitonga' kwa Kutembea na Wake za Watu Kiunafiki kabisa tunajifanya Kusikitika, Kuhoji na kujifanya ni FBI na kutaka Uchunguzi ( Upelelezi ) wa kina Ufanyike.
Mbona wakati Dogo ( Katibu ) anamkaza Mke wa Massanja hamkuja hapa JamiiForums Kumkanya na hata kutaka hao ( hawa ) Polisi Wamchunguze Dogo Katibu? Wanafiki wakubwa nyie.
Yaani GENTAMYCINE nijichange, nihangaike Kimaisha kisha Nioe Mke wangu halafu 'Ngala Ngala' Mmoja uje tu Unikazie 'Kisela' halafu nijue nikuache? Labda Mimi siyo Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi Kudadadeki...!!
99% ya Mlioanzisha Mada ( za Angle mbalimbali ) kuhusu Kuhoji na Kusikitika Kifo ( Kujiua ) kwa Katibu wa Massanja nanyi ndiyo Wabobezi wa Kuzikaza 'Mbunye' za Wanaume Wenzenu mbona nanyi hamtaki Uchunguzi wa Kina ufanyike dhidi yenu? Wanafiki wakubwa nyie.
Mimi Dogo awe Kajiua Kweli au hata Kauwawa ( Kimafia ) na Watu wa 'Kimkakati' wala sijali na sisikitiki ila naendelea Kusisitiza acheni kupenda 'Mbunye' za Wake za Watu wawe ni Matajiri au Masikini.
Mademu wamejaa tele ( tena mpaka wa Buku Buku ) na Wengine ni wa Kukopa ( Mali Kauli ) kama ambao GENTAMYCINE nawapata na nimebobea nao kwanini hadi ukahangaike na Mke wa Mtu / Wake za Watu wakati pengine nawe pia Nyumbani Kwako una Mke / Wake kwa ile Dini nyingine?
Wanafiki mtakaoenda katika Msiba wa huyo Dogo Mwizi wa Penzi la Mke wa Massanja mkatuwakilishe vyema ila Mimi GENTAMYCINE huwa nahudhuria Misiba yenye Vifo vilivyotokea kwa sababu za maana na za Kibinadamu kweli ila Misiba ya Kipuuzi ya Kujiua kwa Kuiba Penzi la Mtu au ya Kibaka na Jambazi na mingineyo huwa sina muda Mchafu wa Kuihudhuria na kuna muda hata Wanaoihudhuria pia huwa nawaona hawana Akili vile vile.
Wanafiki wakubwa kabisa nyie............!!!
Lakini Genta, wewe mwenyewe umekiri (na umetaja) kuwa huyu ni dogo. Unafikiri kama kadhurumiwa (kauwawa), alistahili adhabu hiyo?Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa.
Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu huku JamiiForums ) wa kupenda 'Kitonga' kwa Kutembea na Wake za Watu Kiunafiki kabisa tunajifanya Kusikitika, Kuhoji na kujifanya ni FBI na kutaka Uchunguzi ( Upelelezi ) wa kina Ufanyike.
Mbona wakati Dogo ( Katibu ) anamkaza Mke wa Massanja hamkuja hapa JamiiForums Kumkanya na hata kutaka hao ( hawa ) Polisi Wamchunguze Dogo Katibu? Wanafiki wakubwa nyie.
Yaani GENTAMYCINE nijichange, nihangaike Kimaisha kisha Nioe Mke wangu halafu 'Ngala Ngala' Mmoja uje tu Unikazie 'Kisela' halafu nijue nikuache? Labda Mimi siyo Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi Kudadadeki...!!
99% ya Mlioanzisha Mada ( za Angle mbalimbali ) kuhusu Kuhoji na Kusikitika Kifo ( Kujiua ) kwa Katibu wa Massanja nanyi ndiyo Wabobezi wa Kuzikaza 'Mbunye' za Wanaume Wenzenu mbona nanyi hamtaki Uchunguzi wa Kina ufanyike dhidi yenu? Wanafiki wakubwa nyie.
Mimi Dogo awe Kajiua Kweli au hata Kauwawa ( Kimafia ) na Watu wa 'Kimkakati' wala sijali na sisikitiki ila naendelea Kusisitiza acheni kupenda 'Mbunye' za Wake za Watu wawe ni Matajiri au Masikini.
Mademu wamejaa tele ( tena mpaka wa Buku Buku ) na Wengine ni wa Kukopa ( Mali Kauli ) kama ambao GENTAMYCINE nawapata na nimebobea nao kwanini hadi ukahangaike na Mke wa Mtu / Wake za Watu wakati pengine nawe pia Nyumbani Kwako una Mke / Wake kwa ile Dini nyingine?
Wanafiki mtakaoenda katika Msiba wa huyo Dogo Mwizi wa Penzi la Mke wa Massanja mkatuwakilishe vyema ila Mimi GENTAMYCINE huwa nahudhuria Misiba yenye Vifo vilivyotokea kwa sababu za maana na za Kibinadamu kweli ila Misiba ya Kipuuzi ya Kujiua kwa Kuiba Penzi la Mtu au ya Kibaka na Jambazi na mingineyo huwa sina muda Mchafu wa Kuihudhuria na kuna muda hata Wanaoihudhuria pia huwa nawaona hawana Akili vile vile.
Wanafiki wakubwa kabisa nyie............!!!
Alishasema hili nalo litapita so litapitamke wa masanja anakosa na dogo pia ana kosa. mke wa masanja n mtu mzma weny akili timamu nadhan alikuwa anajua anafny nn na marehem pia alikuwa anajua anafnya nn kiufup tumsbur mwny mke wake afanye maamuzi anayiisi n sahihi...
lakini hili swala alibadlishi et uchunguz usipite uchunguz lzm upite mkuu.
Masanja atafute Katibu wa kike sasa
Ukimuona Mke wa mtu kaharibika ujue Mume wake kaoza zaidi.. Masanja amevuna alichopanda kwenye ndoa yake.. Mimi namalumu Masanja mwenyewe kama kichwa cha ndoa yake amekuwa mfano mbaya kwa mke wake na kiongozi wa hovyo wa kanisa lake.Lawama zote ziende kwa mke wa masanja.
Alikuwa anashika KOLA ya Mchungaji na mikono iliyotoka kushika manii ya hawara.
Katibu hana kosa, aliyepaswa kufa ni huyo mwanamke asiyejiheshimu.
Mwanamke kama mke wa pastor alikuwa anaandaa hata sacrament ya meza ya Bwana huku anazini.
Anachukua vitu vya madhabahu akiwa mchafu.
Niamini tu kuwa atakuwa na wanaume wengine wa nje pia.
Ngoja niishie hapa naona ninakoelekea ni kubaya zaidi
Ukiachana na yote hayo, wewe ukweli wa tukio hili una kuingia akilini?Watu wanasikitikia kifo kwa sababu katika maisha haya tunayoyajua kifo ni final.
Yani hata kama unaamini alifanya uhuni, na uhuni ni mbaya, ni bora angeishi na kupata nafasi ya kubadili huo uhuni afanye mazuri.
Sasa amefariki, amepoteza nafasi zote za kubadili huo uhuni.
Kama kweli akifanya uhuni na kama kweli uhuni huo ni mbaya.
Kwa nini hili linakuwa gumu sana kuelewa?
Simple empathy, please.
Kwa nini Watanzania wengi ni makatili sana, hawana huruma wala ustaarabu, wakijificha katika kichaka cha haki?
Why beat up a dead body?
The fellow is dead already, have some mercy.
Wabongo punguzeni roho mbaya na ujuwaji, wewe unamjuwa Masanja? au Bongo mafanikio ni lazima yaambatane na chuki?Ukimuona Mke wa mtu kaharibika ujue Mume wake kaoza zaidi.. Masanja amevuna alichopanda kwenye ndoa yake.. Mimi namalumu Masanja mwenyewe kama kichwa cha ndoa yake amekuwa mfano mbaya kwa mke wake na kiongozi wa hovyo wa kanisa lake.
Achana na huyo mtu vitu vingine ibaki kuwa siri nachoweza kukwambia tu wachungaji wa kweli hapo tz ni wachache sana wengine wote wameoza. usitake kunijua mimi ni nani na kwanini nimekwambia hivyo endelea kukaza shingo.Wabongo punguzeni roho mbaya na ujuwaji, wewe unamjuwa Masanja? au Bongo mafanikio ni lazima yaambatane na chuki?
Namjuwa huyo dogo tangu kipindi anatafuta ela ya kula kwa kufanya PA ya kumbe za muziki kwa kupiga na sound mitaani kufanya promo ya show.
Mafanikio ya kimaisha isigeuke kuwa kama laana kwetu.
Dah mchungaji hakuongozwa na roho mtakatifu kushtukia mchongo?Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa.
Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu huku JamiiForums ) wa kupenda 'Kitonga' kwa Kutembea na Wake za Watu Kiunafiki kabisa tunajifanya Kusikitika, Kuhoji na kujifanya ni FBI na kutaka Uchunguzi ( Upelelezi ) wa kina Ufanyike.
Mbona wakati Dogo ( Katibu ) anamkaza Mke wa Massanja hamkuja hapa JamiiForums Kumkanya na hata kutaka hao ( hawa ) Polisi Wamchunguze Dogo Katibu? Wanafiki wakubwa nyie.
Yaani GENTAMYCINE nijichange, nihangaike Kimaisha kisha Nioe Mke wangu halafu 'Ngala Ngala' Mmoja uje tu Unikazie 'Kisela' halafu nijue nikuache? Labda Mimi siyo Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi Kudadadeki...!!
99% ya Mlioanzisha Mada ( za Angle mbalimbali ) kuhusu Kuhoji na Kusikitika Kifo ( Kujiua ) kwa Katibu wa Massanja nanyi ndiyo Wabobezi wa Kuzikaza 'Mbunye' za Wanaume Wenzenu mbona nanyi hamtaki Uchunguzi wa Kina ufanyike dhidi yenu? Wanafiki wakubwa nyie.
Mimi Dogo awe Kajiua Kweli au hata Kauwawa ( Kimafia ) na Watu wa 'Kimkakati' wala sijali na sisikitiki ila naendelea Kusisitiza acheni kupenda 'Mbunye' za Wake za Watu wawe ni Matajiri au Masikini.
Mademu wamejaa tele ( tena mpaka wa Buku Buku ) na Wengine ni wa Kukopa ( Mali Kauli ) kama ambao GENTAMYCINE nawapata na nimebobea nao kwanini hadi ukahangaike na Mke wa Mtu / Wake za Watu wakati pengine nawe pia Nyumbani Kwako una Mke / Wake kwa ile Dini nyingine?
Wanafiki mtakaoenda katika Msiba wa huyo Dogo Mwizi wa Penzi la Mke wa Massanja mkatuwakilishe vyema ila Mimi GENTAMYCINE huwa nahudhuria Misiba yenye Vifo vilivyotokea kwa sababu za maana na za Kibinadamu kweli ila Misiba ya Kipuuzi ya Kujiua kwa Kuiba Penzi la Mtu au ya Kibaka na Jambazi na mingineyo huwa sina muda Mchafu wa Kuihudhuria na kuna muda hata Wanaoihudhuria pia huwa nawaona hawana Akili vile vile.
Wanafiki wakubwa kabisa nyie............!!!
Masanja ni mjasirialia dini tu kama wengine, lakini tusiwanenee yasiyo sahihi.Achana na huyo mtu vitu vingine ibaki kuwa siri nachoweza kukwambia tu wachungaji wa kweli hapo tz ni wachache sana wengine wote wameoza. usitake kunijua mimi ni nani na kwanini nimekwambia hivyo endelea kukaza shingo.
Kwahiyo kwamfano ikitokea ukafumaniwa KABLA mwanamke hajakufungukia kama yeye ni mke wa mtu, utakua radhi kuuawa?Wengi 'ninaowakaza' mwanzoni huniambia kuwa wako 'Single' au Wameachana na Wanaume wao ila baadae huamua Kufunguka Kwangu kuwa wana Mabwana na Mimi haraka sana huamua Kuachana nao.
Ni sawa na Serikali kumfunga Mtu aliyeua kisa kafumania. Sheria Ziwekwe. ukifumania Ukamuua Mtu HAUNA KOSA...[emoji1787][emoji1787]
mke wa masanja anakosa na dogo pia ana kosa. mke wa masanja n mtu mzma weny akili timamu nadhan alikuwa anajua anafny nn na marehem pia alikuwa anajua anafnya nn kiufup tumsbur mwny mke wake afanye maamuzi anayiisi n sahihi...
lakini hili swala alibadlishi et uchunguz usipite uchunguz lzm upite mkuu.
Popoma hapo umepatia kabisa ni ujinga kua na huruma na mtu anae tembea na wake za watu hawa watu ndo sababu kuu kila siku tunasikia mauaji ....tukemee hii tabia na watu waheshimu ndoa ...
Kwa namna yeyote ile Kama huyo katibu aliwahi kulala na mama mchuu akiwa ameshaolewa na masanja kifo ni stahiki yake.
Kwa kuuwawa au kujiua...vyovyote hatakiwi kutembea tena juu ya uso wa hii dunia
Hahahahah kula tunda kimasiharaHuu ni mtazamo wa kisokwe umeandika hapa, sio mtazamo wa binadamu aliyestaarabika wa karne ya 21.