Wahaya hawajafanikiwa, ni masikini, wana majanga na pia waache usaniiKinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k
Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.
Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu .
Pia wachaga the same.
Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter Kwahiyo ukifa matter inaondoka inabaki Energy .
Hivyo unapoenda Nyumbani au kukumbuka Nyumbani kwenu unakuwa Unavuta nishati chanya ambayo unaweza kuitumia katika Biashara zako , Kazi zako n.k .
Sio mpya ni mambo ambayo hata kale yapo ila kuyathibitisha ukweli wake inabaki kuwa imani tu.Huu utakuwa uvumbuzi mpya
Japo mm n Mchaga ila umeandika utumbo mtupu.Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k
Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.
Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu .
Pia wachaga the same.
Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter Kwahiyo ukifa matter inaondoka inabaki Energy .
Hivyo unapoenda Nyumbani au kukumbuka Nyumbani kwenu unakuwa Unavuta nishati chanya ambayo unaweza kuitumia katika Biashara zako , Kazi zako n.k .
🤣🤣🤣 ebu kuwa sriaz bc wahaya hawa walio kimbilia dar na kuacha umaskn wakutsha kwao, Elimu enyew bc tu kweny biashara hawapo hata 10 ya makabila enye uchumi mkubwa Tanzania sasa ebu tu fafanulie wamefanikiwaje kweny biashara na wakat wao n maskn?Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k
Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.
Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu .
Pia wachaga the same.
Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter Kwahiyo ukifa matter inaondoka inabaki Energy .
Hivyo unapoenda Nyumbani au kukumbuka Nyumbani kwenu unakuwa Unavuta nishati chanya ambayo unaweza kuitumia katika Biashara zako , Kazi zako n.k .
Hata wanyakyusa pia!Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k