Mnajua kwanini wahaya na wachaga wamefanikiwa sana ?

Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k

Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.

Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu .

Pia wachaga the same.

Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter Kwahiyo ukifa matter inaondoka inabaki Energy .

Hivyo unapoenda Nyumbani au kukumbuka Nyumbani kwenu unakuwa Unavuta nishati chanya ambayo unaweza kuitumia katika Biashara zako , Kazi zako n.k .

Sababu ya kufanikiwa Kwa hayo makabila mawili ni mwamko wa Elimu, Ari ya utafutaji, exposure, na uwezo mkubwa wa kuzisaka Fursa popote zilipo Duniani(UVAMIZI)

Hoja ya uwezo wa mkubwa wa kuzisaka Fursa popote Duniani ndio kitovu kikuu cha mafanikio ya Jamii yoyote Ile. UVAMIZI ni Moja ya kigezo namba moja cha kufanikiwa katika maisha.

Jamii isiyovamia huvamiwa na kudondoshwa
 
Mtibeli
 
Ukweli ni upi
Kazi kwa bidii na kwa akili na kutokuwa mchoyo wa maendeleo kwa jamaa zako ndo ukweli wa mafanikio ya wachaga na wengine.

Halafu lazima kuwe na kaubinafsi na kaukabila, yaani ukisikia fursa unaanza kuwaambia watu wa kwenu kwanza.

Mfano: Ukienda huko vijijini kaskazini mashamba hayauzwi kiholela holela japo wachaga wametapakaa nchi nzima wakiuziwa mashamba na viwanja na makabila mengine.

Sababu ya kutokuuza mashamba ndo kama sehemu za kuzikiwa n.k

Hako ni kaubinafsi, ila sasa haiwezekani kuwa na ubinafsi wa aina hii nchi nzima, lazima wengine wafungue roho.

Mfano pwani na dsm, imagine wenyeji wangegoma kuuza maeneo kwamba watazikana huko.
 
Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k

Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.

Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu .

Pia wachaga the same.

Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter Kwahiyo ukifa matter inaondoka inabaki Energy .

Hivyo unapoenda Nyumbani au kukumbuka Nyumbani kwenu unakuwa Unavuta nishati chanya ambayo unaweza kuitumia katika Biashara zako , Kazi zako n.k .
Kabila linaloweza kujivuna kwamba wamefanikiwa hapa Tz ni moja tu; Chagga.
 
Vijana mnaochapika na maisha jaribu kukumbuka Nyumbani utaona mambo yanabadirika Sana .

Sio lazima uende Ila watumie hata Michele kilo moja tu.
Wengine wapo huko huko nyumbani na hawatoboi hakuna formula kwenye maisha na kila mmoja atateseka kwa wakati wake🐼
 
Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k

Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.

Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu .

Pia wachaga the same.

Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter Kwahiyo ukifa matter inaondoka inabaki Energy .

Hivyo unapoenda Nyumbani au kukumbuka Nyumbani kwenu unakuwa Unavuta nishati chanya ambayo unaweza kuitumia katika Biashara zako , Kazi zako n.k .
Kagera ndio Mkoa wa Tatu ktk Mikoa Maskini Tanzania.

Acha uongo.

Miko ambayo watu hawatumii vyoo Kagera ya Wahaya ni Ya Tano kutoka Mwisho
 
🤣🤣🤣 ebu kuwa sriaz bc wahaya hawa walio kimbilia dar na kuacha umaskn wakutsha kwao, Elimu enyew bc tu kweny biashara hawapo hata 10 ya makabila enye uchumi mkubwa Tanzania sasa ebu tu fafanulie wamefanikiwaje kweny biashara na wakat wao n maskn?
Wahaya wako over rated. Wako udsm tu
 
Haya makabila siri ya maendeleo ni kuwa na sustainable income. Zao la kahawa ambalo linalimwa mara Moja na unavuna for more than 50 yrs. Kwa kipato hicho watoto wanaenda shule, makazi Bora yanajengwa n.k. mengine yanayosemwa ni vivu tu.
 
Ndio maana hata shule hawasomi sana, mafanikio yao kwa asilimia kubwa ni kujituma
Hakuna watu wanaenda shule kwa wingi na kwa uwiano kama Chagga. Hadi leo toka miaka kabla ya uhuru K'Njaro inaongoza kwa wingi wa mashule. Vyuoni wapo wengi sana. Kitu kimoja watu wamedanganyika ni kufikiri Wahaya ndio husoma sana. Watu wa Musoma husoma zaidi ya Watu wa Kagera. Mhaya akienda shule lazima kelele nyingi utasikia. Mhaya akiwa Profesor utajua tu huyu ni Mhaya, lakini sivyo kwa Mchagga. Tena wengi hawapendi hata kujulikana kwani kuna notion mbaya nchi hii na chuki dhidi ya Wachagga na wengi waoni kwanini wajulikane.
 
Wahaya nachoweza kusema kwenye biashara sijawaona sana

Kwenye shule Kuna iliowatoa kweli Hilo halina ubishi

Kwenye usomi mpaka sasa ukiniambia mchga na muhaya mm nta categorize hivi

Kwenye ngazi ya primary mpaka chuo kwa ngazi ya degree wachaga ina number kubwa sio kwamba wahaya hawapo wapo Ila

Wahaya wanatuzidi kwenye kuongeza elimu mfano masters, PhD na uprofesa! Kwa hapo wahaya ni wengi Ila kwa ngazi ya usomi msingi ule wa degree nimeona wachaga wako wengi

Nilienda mahafali ya school of law...... Kitabu Cha mahafali kina kimaro walikuwa wengi kuzidi nshomile.... Nimekaa nao majina yao nayajua... vizuri.....

Naweza kusema hivyo ni maoni yangu
 
Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k

Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.

Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu .

Pia wachaga the same.

Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter Kwahiyo ukifa matter inaondoka inabaki Energy .

Hivyo unapoenda Nyumbani au kukumbuka Nyumbani kwenu unakuwa Unavuta nishati chanya ambayo unaweza kuitumia katika Biashara zako , Kazi zako n.k .
UMEANDIKA UJINGA SANA.

YAANI HATA VITU VYA KUONA MNAANDIKA UONGO NA UCHAWI UCHAWI TU,SASA MTU AKIFA AKAZIKWA HAPO ATAFANYA NINI LA MAANA WAKATI AMESHAKUFA?

KAMA MAKABILA MENGINE WANAZIKA POPOTE,MAANA YAKE HIZO UNAZOZIITA ENERGY ZINGEKUWA NYINGI NCHI NZIMA NA TANZANIA YOTE INGEKUWA NA MAENDELEO.

KWA AKILI ZAKO HIZI,JIANGALIE HATA KABILA LENU,UKOO,FAMILIA KAMA MMEENDELEA.

USIANZE KUSIMULIA UNA NYUMBA NA GARI,MAANA KWA WATU WENYE UPEO MDOGO HAYO NI MAENDELEO.
 
Back
Top Bottom