Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k
Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.
Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu .
Pia wachaga the same.
Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter Kwahiyo ukifa matter inaondoka inabaki Energy .
Hivyo unapoenda Nyumbani au kukumbuka Nyumbani kwenu unakuwa Unavuta nishati chanya ambayo unaweza kuitumia katika Biashara zako , Kazi zako n.k .
Sababu ya kufanikiwa Kwa hayo makabila mawili ni mwamko wa Elimu, Ari ya utafutaji, exposure, na uwezo mkubwa wa kuzisaka Fursa popote zilipo Duniani(UVAMIZI)
Hoja ya uwezo wa mkubwa wa kuzisaka Fursa popote Duniani ndio kitovu kikuu cha mafanikio ya Jamii yoyote Ile. UVAMIZI ni Moja ya kigezo namba moja cha kufanikiwa katika maisha.
Jamii isiyovamia huvamiwa na kudondoshwa