Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Walikuwa wanakulana pia hiyo ni wazi ila Mshana kwa humu apewe maua yake yy ni king Solomon wa JF aseee 🖐️🖐️🖐️
Mmh king solomon kwa zile kazi..........wale wadada wakipindi kile walipataga wazee fulani walugaluga ndo wakawa wanawapiga senti zao,,, jf ilipovamiwa na vijana wa ovyo wakawalamba hao wadada na kuwaanika na asilimia kubwa walikua ni madem tu wa kawaida wa kitaa ila ukikuta thread zao jf unaweza ukaogopa hata kuzama pm,,,,,ila waliwapiga sana wazee na ndo waliokua kila siku kwenye thread zao wana wa praise na kuwa worship hao wadada,,,ila wahuni walipokuja kuwajua🤣🤣🤣
 
Walikuwa wanakulana pia hiyo ni wazi ila Mshana kwa humu apewe maua yake yy ni king Solomon wa JF aseee 🖐️🖐️🖐️
Hana lolote huyo alikuwa anabebishwa tu na kutandikwa vizinga huku madogo wanajipigia bure bure
 
Hana lolote huyo alikuwa anabebishwa tu na kutandikwa vizinga huku madogo wanajipigia bure bure
Achana na huyo dem hata wengine pia jamaa kawala sana yaani sanaa mi kuna demu alinifuata alitaka nimshtue mshkaji afungue pm sio poa mkuu
Ni hatari
 
Mbitiyaza naujanja wote kumbe alikuwa ana vuliwa pichu na katoto ka 99 walikuwa Wana tumiana photo nudes huko DM 😁😁😁😁😁😁

Basi bwana sindio ikatokea wakagombana kubabake ulianzishwa Uzi huo umejaa picha za mbitiyaza za utupu palikuwa hapatoshi mamaeee 🤣🤣🤣🤣
Watu hatukulala siku Ile Tangu siku hiyo mbitiyaza Akaanza kutoweka if mamaeee dahhh ilikuwa aibu kubwa Sana

Bad enough wakati ule Uzi unaanza mashoga zake wote walikuwa upande wake Ila baada ya zile picture kuvuja hata wale waliokuwa Wana mtetea wakaanza kukaa kando ,

Kilicho mmaliza ni kwamba alikuwa anajipa standard kumbe anavuliwa pichu na kitoto 😁😁😁😁😁😁😁

Hii ilinipita nikiwa wapi jamani
 
Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
 
IMG-20250127-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom