Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Nini maana ya live your life???!!! Sasa mbona we you are not living your life...

Mtu akifake, akisema ni bilionea, anamiliki treni we unaumia nini??

Childish!!
Hujaelewa maana ya live your own life,mtu akisema namiliki SGR au ATCL ni
direct unajua huu ni utani,fake life na mfano wako wala havina uhusiano!
 
Wale Jamaa wa Forex walijipanga Sana Una kuta mtu 1 ana id 7 za jf 😁😁😁

Kiranja wao akianzisha Uzi wote wanakuja kumsapoti ole wako uwapinge utashambuliwa mpaka ukome 🙌🙌🤣
Tulikuwa tuna wapinga kuwa ni scammers Tukawa tunaonekana kuwa tunawaonea wivu wa kimaendeleo na hatutaki wengine watoboe 🤣🤣🤣🤣
Guess what!!! Kilichokuja kutokea ni kilio kizito Kwa wanachuo na Kwa jf members watu walilia sana
Hahaha kama yule Sir jeff kawala sana wadada wa humu yaani ni uncountable baada ya utapeli akachoropokea twitter kule 🤣🤣🤣

Huyo dogo wa 99 aliyekuwa anamla wangari maathai tag I'd yake kama unaijua mkuu
 
Nilihisi kuwa ni mtu mmoja tu huyo, anagombana na kivuli chake. Mpaka leo naamini hivyo.
 
Mbitiyaza naujanja wote kumbe alikuwa ana vuliwa pichu na katoto ka 99 walikuwa Wana tumiana photo nudes huko DM 😁😁😁😁😁😁

Basi bwana sindio ikatokea wakagombana kubabake ulianzishwa Uzi huo umejaa picha za mbitiyaza za utupu palikuwa hapatoshi mamaeee 🤣🤣🤣🤣
Watu hatukulala siku Ile Tangu siku hiyo mbitiyaza Akaanza kutoweka if mamaeee dahhh ilikuwa aibu kubwa Sana

Bad enough wakati ule Uzi unaanza mashoga zake wote walikuwa upande wake Ila baada ya zile picture kuvuja hata wale waliokuwa Wana mtetea wakaanza kukaa kando ,

Kilicho mmaliza ni kwamba alikuwa anajipa standard kumbe anavuliwa pichu na kitoto 😁😁😁😁😁😁😁
Mzee hakuna hata ka link ka huo uzi, utufukulie kaburi?
 
Aseee na watu walizitafuna kweli mbususu za jf.......watu waliona hawatosheki wakafungua na ma group ya whatsap ili wapate na namba kirahisi.....ndo maana kwa sasa id nyingi kongwe hasa kwa wadada zimepotea
Hahaha
 
Walikuwa wanakulana pia hiyo ni wazi ila Mshana kwa humu apewe maua yake yy ni king Solomon wa JF aseee 🖐️🖐️🖐️




Yuko na I'd nyingine I'm sure
😂😂 Nilijua tu hili fekero sio la kheri kabisa. Hope urassa muone crush wako alivyo mmbea. Kumbe tungefedheheka manka.🤣😏😏
 
Back
Top Bottom