Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Jf ya kpnd hiki na miaka kurudi nyuma hadi 2012 ndo ilikua jf, nakumbuka hata admin wa rahatupu blog alikuaga na account humu, mdada fln hv nmesahau jina lake. Kulikua kuna utofauti kati ya wakubwa na wadogo, sikuhizi wote ni humohumo
Nancy
 
Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
Comrade hebu taratibu alooh
 
Alikuwa anajifanya slay queen Sana akawa ana jipa standard kumbe bwana ni demu wa kawaida Sana πŸ˜πŸ™ŒπŸ€£

Vijana wa hovyo sindio wakaja kupost picha yake πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™Œ

Kapiga picha akiwa sijui ziwani kavaa saa ya 5k halafu ni mbaya mbaya daahh palikuwa hapatoshi siku hiyo humu ndani
Kuumbwa mbaya sio kosa ni muumbaji mwenyewe ndo aliamua iwe hivyo.
Na haizuwii mtu kuwa na standards zake.
 
Mbitiyaza naujanja wote kumbe alikuwa ana vuliwa pichu na katoto ka 99 walikuwa Wana tumiana photo nudes huko DM 😁😁😁😁😁😁

Basi bwana sindio ikatokea wakagombana kubabake ulianzishwa Uzi huo umejaa picha za mbitiyaza za utupu palikuwa hapatoshi mamaeee 🀣🀣🀣🀣
Watu hatukulala siku Ile Tangu siku hiyo mbitiyaza Akaanza kutoweka if mamaeee dahhh ilikuwa aibu kubwa Sana

Bad enough wakati ule Uzi unaanza mashoga zake wote walikuwa upande wake Ila baada ya zile picture kuvuja hata wale waliokuwa Wana mtetea wakaanza kukaa kando ,

Kilicho mmaliza ni kwamba alikuwa anajipa standard kumbe anavuliwa pichu na kitoto 😁😁😁😁😁😁😁
mmmh ndo mambo yalifika huku?!! Duuuh
 
Back
Top Bottom