PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
HahahaJamiiforum ya zamani ilijumuisha watu wakubwa na wenye ushawishi. Sasa hivi matusi, uzushi, utapeli na uongo vimeivamia jf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaJamiiforum ya zamani ilijumuisha watu wakubwa na wenye ushawishi. Sasa hivi matusi, uzushi, utapeli na uongo vimeivamia jf.
HahahaEnzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
Evelyn Salt mbona umedislike, 🤣🤣🤣Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
Hahahasema na wao walikua wanawapanga vidume bila hata wao kujijua, enzi zile walikua wanakutana na vidume walugaluga wengi wanawapanga tu na ukiwakuta kwenye thread zao unajua watu wa maana kumbe watembeza papa tu,,,,,baada ya vijana wa ovyo kuanza kuwalamba na kuweka siri zao humu wengi wakakimbia au kubadili i.d
Daaah kazi ipo!The Bold jamani yuko wapi? I loved him badly kumbe alikuwa na mke humu
DuuKuna jamaa yetu humu alipata mchumba binti wa kikurya, basi ikabidi wakutane kwanza binti kafika amenyoa kipara na kavaa mzula wa Taifa stars, katika kuelezana mambo ya hapa na pale dada akampa masharti lazima wawe na zamu ya kupika na kufua ili haki iwe sawa kwa wote
Weee, naijua hiyoooo!!!!Niunge kwanza huko nakutupia kvant za kutosha
Kuna demu mmoja used to call her mbiti yaza,then manengelo, last kabisa wangari maathai,sijui alikuja kufanya nini, mjumbe mmoja alimpasua hadi akakimbia na identity yake! She was like the owner wa JF,kila kitu anajua,mtu wa pesa,mtu wa biashara kubwa kubwa!Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
Faiza foxy
Cocochanel
Miss chaga
Espy
atoto
Arusha one
Ritz
Etrugul
Yalikuwepo mashangingi kweli kweli asee miamba sana. Ila nahisi siku hizi yapo na ID mpya yanasoma kimya kimya au kujifanya ni wageniKuna demu mmoja used to call her mbiti yaza,then manengelo, last kabisa wangari maathai,sijui alikuja kufanya nini, mjumbe mmoja alimpasua hadi akakimbia na identity yake! She was like the owner wa JF,kila kitu anajua,mtu wa pesa,mtu wa biashara kubwa kubwa!
Unakumbuka 😁😁😁😁Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
😁😁😁😁😁 Kuna dogo aliwahi kuvujisha picha za uchi humu za demu mmoja hivi toka morogoro humu ilikuwa haipiti siku Mbili Tatu bila vita tena vita nzito nzito mpaka photo nude zina vujishwa daah jf now days imepoa Sana 🤣🤣Ipo mingi sema kuijua inakuwa ngumu maana imebadili gear angani baada ya JF nayo kuvamiwa na vijana wengi wajuaji.
Hili kundi la hawa vijana ni wale waliohitimu vyuo kuanzia 2015 baada ya Magu kuchukua nchi na ajira kukoma so walikuwa na hasira za hovyo ukizingua ni matusi tu na walikuwa wakilamba mbususu wanakuja kuanzisha nyuzi ndio mishangazi ikaona noma ikaanza kupotea.
Jamaa mademu walikuwa Wana mpenda Sana 🤣Enzi hzo we mzee ndo ilikuwa sukari ya warembo humu bila shaka umezichakata sana mbususu za humu ndani
😁😁😁😁😁 Baada ya watu kutapeliwa kuna watu kibao walizikimbia I'd zao Nakumbuka jf ililipuka Kwa chaos siku 3 mfululizo ni matusi tu na watu kutaka kutoana roho via keyboard Ile siku sinto sahau ban zilitembea sanaumetaja Nifah, umenikumbusha Jangid Plaza
🤣🤣🤣Watu walikuwa wanavimbaaa, kukutana nae anakupa procedures kama laboratory rules, ila ukikutana nae sasa unabaki kungojea ukidhan kuna mwingine anakuja sio yeye!
Vingereza vilikuwa vingiii, kuongelea miradi (projects) kwingiii! Ukijipindua kidogo hata usafiri hana
Ila JF viva
Wewe tena 😁😁😁 hivi kina shunie wako wapi daahYaah nilikua nikiona comment yake nachanganyikiwa
😁😁😁 Demise walicho mfanya humu Hana hamu tena mamaeeTumetoka mbali sana, khaaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haha walimfanya nini huyo demu simuoni sikuhizi😁😁😁 Demise walicho mfanya humu Hana hamu tena mamaee