The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Alikuwa anajifanya slay queen Sana akawa ana jipa standard kumbe bwana ni demu wa kawaida Sana πππ€£Haha walimfanya nini huyo demu simuoni sikuhizi
Vijana wa hovyo sindio wakaja kupost picha yake πππππ
Kapiga picha akiwa sijui ziwani kavaa saa ya 5k halafu ni mbaya mbaya daahh palikuwa hapatoshi siku hiyo humu ndani