Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
Hahaha
 
sema na wao walikua wanawapanga vidume bila hata wao kujijua, enzi zile walikua wanakutana na vidume walugaluga wengi wanawapanga tu na ukiwakuta kwenye thread zao unajua watu wa maana kumbe watembeza papa tu,,,,,baada ya vijana wa ovyo kuanza kuwalamba na kuweka siri zao humu wengi wakakimbia au kubadili i.d
Hahaha
 
Kuna jamaa yetu humu alipata mchumba binti wa kikurya, basi ikabidi wakutane kwanza binti kafika amenyoa kipara na kavaa mzula wa Taifa stars, katika kuelezana mambo ya hapa na pale dada akampa masharti lazima wawe na zamu ya kupika na kufua ili haki iwe sawa kwa wote
Duu
 
Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
Kuna demu mmoja used to call her mbiti yaza,then manengelo, last kabisa wangari maathai,sijui alikuja kufanya nini, mjumbe mmoja alimpasua hadi akakimbia na identity yake! She was like the owner wa JF,kila kitu anajua,mtu wa pesa,mtu wa biashara kubwa kubwa!
 
Yalikuwepo mashangingi kweli kweli asee miamba sana. Ila nahisi siku hizi yapo na ID mpya yanasoma kimya kimya au kujifanya ni wageni
 
Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
Unakumbuka 😁😁😁😁
Hapo katikati iliibuka kampeni Moja nzito Sana ambayo ili wafyekelea mbali akiwamo Demis
 
Ipo mingi sema kuijua inakuwa ngumu maana imebadili gear angani baada ya JF nayo kuvamiwa na vijana wengi wajuaji.

Hili kundi la hawa vijana ni wale waliohitimu vyuo kuanzia 2015 baada ya Magu kuchukua nchi na ajira kukoma so walikuwa na hasira za hovyo ukizingua ni matusi tu na walikuwa wakilamba mbususu wanakuja kuanzisha nyuzi ndio mishangazi ikaona noma ikaanza kupotea.
😁😁😁😁😁 Kuna dogo aliwahi kuvujisha picha za uchi humu za demu mmoja hivi toka morogoro humu ilikuwa haipiti siku Mbili Tatu bila vita tena vita nzito nzito mpaka photo nude zina vujishwa daah jf now days imepoa Sana 🤣🤣
 
Watu walikuwa wanavimbaaa, kukutana nae anakupa procedures kama laboratory rules, ila ukikutana nae sasa unabaki kungojea ukidhan kuna mwingine anakuja sio yeye!
Vingereza vilikuwa vingiii, kuongelea miradi (projects) kwingiii! Ukijipindua kidogo hata usafiri hana
Ila JF viva
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom