Mnakumbuka filamu hizi za kihindi!!

Mnakumbuka filamu hizi za kihindi!!

Nakumbuka LOHA ya Dharmendra na Shashi Kapoor pia Akhree Rasta ya Amitabh Bacchan, MAARD etc
 
Vipi mard,toopan,vishwatma na ganga jamunna sarwasatt za ammitabh bachchan na commando ya mithun?
Vipi kuhusu participation ya marehemu mzee ashanti(amrish puri) katika about 80% ya movies hizi as a villain? Inauma sana siku hizi hayupo so vijana kina shahrukh khan,salman khan na wengineo wanacheza muvi za mapenzi tu?
Vipi tridevi? Na yule mwanamama hema malini ALIYEPENDA KUEKTI ASKARI?

WAKATI UMEKWENDA WAPI HUU?
 
Shaan..hii ilikuwa picha nzuri sana. Nakumbuka kuna mshikaji alikuwa akiwaadisia watu stori yote ya movie hii..yaani karibu kila siku!!
 
Dewar, The Burning Train, Mukadar Kasikander, Kasme Vaader
Amit Bachan, Dharmendra, Amjad Khan, Vinod Khanna, Hema Malini, Rekha, Parveen.
Wakati huo sikulanguliwa ticket labda kama unaweza kugombania(kibilu) ticket
 
... Lawaaris - Amitabh Bachchan/Zeenat Aman/Amjad Khan
... Mr India - Anil Kapoor / Sridev / Amrish Puri
... Bobby - Rishi Kapoor / Dimple Kapadia
... Insaafu ka tarazzu - Raj Babbar/Zeenat Aman/Padmin Kolhapure
... The Great Gambler - Amitabh Bachchan/Zeenat Aman/Neetu Singh
... Duniya meri jeb mein - Rishi kapoor/Simi Garewal
... Don - Amitabh bachchan/Zeenat Aman/Pran
...Yaadon ki Baraat - Dharmendra/Tariq/Pravin babi

...Hizi na nyingine nyingi zilikuwa zaidi kwenye yale majumba ya sinema za kidosi ya Cameo, New Chox na kidoodgo Avalon.
Kule kwenye majumba ya watoto wa mjini Empire na Empress mambo yalikuwa ni:

...They call Me Trinity - Terence Hill/ Bud Spencer
... Prince of Power - Giuliano Gemma/Fernando Sancho
... Companeros - Franco Nero
... One Silver Dollar - Anthony Steven
... The Good, The bad and The Ugly - Lee Van Cleef/Clint Eastwood/Elli Wallachi
... Butch Cassidy and the Sundance Kid - Robert Redford/Paul Newman

.... baadaye kukafuata:

... Three the hard way - Jim Kelly/Jim Brown/Fred Williamson
... Enter the Dragon - Bruce Lee
... Dirty Harry - Clint eastwood
... Shaft - Richard Roundtree
... Endless Love - Brooke Shields
... Filamu za Bond, James Bond!(kama anavyojitambulisha mwenyewe!)-
Sean Connery/Roger Moore
...Foxy Brown/Sheba Baby/Coffy - Pam Grier
... Jaws -
... The Towering Inferno-

...na masterpiece nyingine nyiingi kama hizi. kama alivyosema mwenzetu; Wakati Umekwenda Wapi Huu???
 
Andha Khanoon...i dont remeber whor starred...by the way watu wanasema stering,stelingi sijui... badala ya starring..lugha bwana
\

Imechezwa na Amitabh Bachan, Hema malini na Rajinikanth

Unakumbuka ; Naginn ya Reena Roy, Nagina, Love in Goa, Thodisi Bewafai?
 
... Lawaaris - Amitabh Bachchan/Zeenat Aman/Amjad Khan
... Mr India - Anil Kapoor / Sridev / Amrish Puri
... Bobby - Rishi Kapoor / Dimple Kapadia
... Insaafu ka tarazzu - Raj Babbar/Zeenat Aman/Padmin Kolhapure
... The Great Gambler - Amitabh Bachchan/Zeenat Aman/Neetu Singh
... Duniya meri jeb mein - Rishi kapoor/Simi Garewal
... Don - Amitabh bachchan/Zeenat Aman/Pran
...Yaadon ki Baraat - Dharmendra/Tariq/Pravin babi

...Hizi na nyingine nyingi zilikuwa zaidi kwenye yale majumba ya sinema za kidosi ya Cameo, New Chox na kidoodgo Avalon.
Kule kwenye majumba ya watoto wa mjini Empire na Empress mambo yalikuwa ni:

...They call Me Trinity - Terence Hill/ Bud Spencer
... Prince of Power - Giuliano Gemma/Fernando Sancho
... Companeros - Franco Nero
... One Silver Dollar - Anthony Steven
... The Good, The bad and The Ugly - Lee Van Cleef/Clint Eastwood/Elli Wallachi
... Butch Cassidy and the Sundance Kid - Robert Redford/Paul Newman

.... baadaye kukafuata:

... Three the hard way - Jim Kelly/Jim Brown/Fred Williamson
... Enter the Dragon - Bruce Lee
... Dirty Harry - Clint eastwood
... Shaft - Richard Roundtree
... Endless Love - Brooke Shields
... Filamu za Bond, James Bond!(kama anavyojitambulisha mwenyewe!)-
Sean Connery/Roger Moore
...Foxy Brown/Sheba Baby/Coffy - Pam Grier
... Jaws -
... The Towering Inferno- Paul Newman

...na masterpiece nyingine nyiingi kama hizi. kama alivyosema mwenzetu; Wakati Umekwenda Wapi Huu???

Umenikubusha na hizi
Tough Guy- Cheng Sing
Trinity is Stll My Name- Terence na Bud Spencer
Kiss Kiss Kill Kill- Tony Kendal and Brad Harris
Cleopatra Jones - Tamara Dobson
Cleopatra Jones and Casino of Gold- Tamra Dobson
100 Rifles- Jim Brown
Dracula- Christopher Lee
Bood Fist- Cheng sing
 
Wale wa Mbeya watakumbuka ukumbi wa Enterprise ulioko mkabala na posta ulikuwa unamilikiwa na Alwi Ahmed Shariff amilikaye Starlight Dar, namkumbuka Mzee Nyalile au Mafakala huyu alikua ndo msimamizi wa ukumbi huo. wakaati wa susukuu ndo ilikuwa sehemu pekee ya kuja kuvinjari au kupita pita huku ukiburudika na Big G from Kenya na biskuti from Zambia.
 
Dream Girl, Charas, Mera gone Mera Desh - Hema Malin, Dharmendra, Pran.
Movie hizi zilikuwa kali sanaaaa
 
Back
Top Bottom