Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
\Andha Khanoon...i dont remeber whor starred...by the way watu wanasema stering,stelingi sijui... badala ya starring..lugha bwana
... Lawaaris - Amitabh Bachchan/Zeenat Aman/Amjad Khan
... Mr India - Anil Kapoor / Sridev / Amrish Puri
... Bobby - Rishi Kapoor / Dimple Kapadia
... Insaafu ka tarazzu - Raj Babbar/Zeenat Aman/Padmin Kolhapure
... The Great Gambler - Amitabh Bachchan/Zeenat Aman/Neetu Singh
... Duniya meri jeb mein - Rishi kapoor/Simi Garewal
... Don - Amitabh bachchan/Zeenat Aman/Pran
...Yaadon ki Baraat - Dharmendra/Tariq/Pravin babi
...Hizi na nyingine nyingi zilikuwa zaidi kwenye yale majumba ya sinema za kidosi ya Cameo, New Chox na kidoodgo Avalon.
Kule kwenye majumba ya watoto wa mjini Empire na Empress mambo yalikuwa ni:
...They call Me Trinity - Terence Hill/ Bud Spencer
... Prince of Power - Giuliano Gemma/Fernando Sancho
... Companeros - Franco Nero
... One Silver Dollar - Anthony Steven
... The Good, The bad and The Ugly - Lee Van Cleef/Clint Eastwood/Elli Wallachi
... Butch Cassidy and the Sundance Kid - Robert Redford/Paul Newman
.... baadaye kukafuata:
... Three the hard way - Jim Kelly/Jim Brown/Fred Williamson
... Enter the Dragon - Bruce Lee
... Dirty Harry - Clint eastwood
... Shaft - Richard Roundtree
... Endless Love - Brooke Shields
... Filamu za Bond, James Bond!(kama anavyojitambulisha mwenyewe!)-
Sean Connery/Roger Moore
...Foxy Brown/Sheba Baby/Coffy - Pam Grier
... Jaws -
... The Towering Inferno- Paul Newman
...na masterpiece nyingine nyiingi kama hizi. kama alivyosema mwenzetu; Wakati Umekwenda Wapi Huu???
enzi za kupigwa changa la macho hiziMimi nilikuwa mpenzi sana wa picha za kihindi miaka ile ya 1980s.
Hii ni Amita Bachchan na Rajin Kanti, movie la MAANA usipime!!!!Andha Khanoon...i dont remeber whor starred...by the way watu wanasema stering,stelingi sijui... badala ya starring..lugha bwana