Kosa lilifanyika 2015.
Tuliza hayo makalio we bwegeSio china, India, ufaransa, US …. Sasa wameona bora Ruto ! Mama sababu za kuchuja ni siasa zake ambazo ni za uongo uongo. Aliwahi kuwapa ahadi wakina kamala na Biden 🤮, China 🤮, India🤮, 4R 🤮, chaguzi huru🤮, rushwa 🤮, mikataba ya uwazi🤮, Kauza badari🤮, Kia🤮, misitu🤮, account ya Abdul Dubai imenona🤮.
Mama kachuja kwa tamaa zake
We zombie Samia ni iron lady usimlinganishe na vt vya ajabu, subiri OktobaHuyu Mama yanaenda kumkuta ya Joyce Banda wa Malawi
Chuma Cha Liganga hakitamwacha salama!!!
Nipo paleee mtakuja niambia!!
Wewe pangu pakavu tia mchuzi!!We zombie Samia ni iron lady usimlinganishe na vt vya ajabu, subiri Oktoba
Bora ife kuliko kufanya udalaliChadema imepasuka kwasababu ya uongozi mbaya wa mamluki Lissu. Mamluki hakutaka kusikiliza maoni ya wanachama wake ispokuwa kufuata maelekezo ya muajiri wake.