Mnakumbuka umaarufu wa shule za St Mary's?

Mnakumbuka umaarufu wa shule za St Mary's?

Kipindi hiko wakishua wana miliki ungo wa DSTV ilikuwa ni kazi kumiliki dstv leo dstv aina tofauti na king'amuzi cha startime.

Kipindi hiko fubu,dada,seanjohn zilitamba.

huyu mzee TID aka warioba hii zeze ingekuwa imetoka youtube hipo leo asinge kuwa kituko.

ila hizi shule wazazi waliona maisha wameyapatia kama wana somesha ulaya.Kisa zina school bus.Leo mpaka shule za kata zina vipanya vinarundika wanafunzi utazani marobota ya nguo.
 
Watumishi wa St Marys Secondary Mbezi hawana mikataba ya kazi

Tangu mmiliki atangulie mbele ya haki mambo hayaeleweki
 
Ni shule bora now maccm yameua elimu kbs mtoto sekondari hajui kusoma na kuandka mtoto ana f ya mathematics ana one shule za kayumba sa nani atapeleka mtoto huko wkt one zpo za mchongo kama zote huku kayumba kifupi ya tz ipo kaburini ishakufa madogo wengi now kuanzia msingi to university ni vilaza kbs.
 
Mojawapo wewe
 
Mojawapo wewe
majitu ya ccm bhana eti hapa umeona mi ni mchuro kusema ccm wameua elimu kwny taifa hli tahira unadhan mimi ni miongon mwa vilaza mnaozalishwa mashulen huko na kujazana huko ccm maskini taifa langu TANGANYIKA.
 
😂😂
 
Miaka hio ya 2000s hadi 2010s

Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda

Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare

Sijui zimeishia wapi siku hizi?
Kulikuwa na St. Mary’s ya Mbezi Beach, Tabata na Mbagala.

Afu shule ndugu na St. Mary’s ilikuwa Kenton sijui kama mnaikumbuka? Ilikuwa Mwenge karibu na Ofisi za TRA

Pia kulikuwaa na St. Mathew nao walikuwa vizuri kiasi chake
 
Kipindi hicho Niko kayumba yangu nakimbizana na fagio langu nilisikiaga hizo shule nikajisemeaga mtoto wangu ataenda soma st marry,'s 😀😀 ila Toka yule mama afariki shule nazo zikafariki
 
Back
Top Bottom