jannelle
JF-Expert Member
- Feb 8, 2020
- 824
- 1,581
Sio walisema, ni kweli zilikiwa za Late Rwakarare bt jamani kweli mwenye nacho akifa na uwekezaji hutoweka😌Miaka hio ya 2000s hadi 2010s
Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda
Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare
Sijui zimeishia wapi siku hizi?