Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Yatima wanakuwepo hata 50 wa kuzugiaWakishuwa huku wafadhili wanajuwa watoto waliyokuwa wanasoma hapo ni yatima pia
Ova
Wewe tena🤣🤣🤣🤣Zile shule zilikua nzuri, English nje nje
Zipo, lakini sio kukimbiza.Zipo bado zinakimbiza
Mojawapo weweNi shule bora now maccm yameua elimu kbs mtoto sekondari hajui kusoma na kuandka mtoto ana f ya mathematics ana one shule za kayumba sa nani atapeleka mtoto huko wkt one zpo za mchongo kama zote huku kayumba kifupi ya tz ipo kaburini ishakufa madogo wengi now kuanzia msingi to university ni vilaza kbs.
majitu ya ccm bhana eti hapa umeona mi ni mchuro kusema ccm wameua elimu kwny taifa hli tahira unadhan mimi ni miongon mwa vilaza mnaozalishwa mashulen huko na kujazana huko ccm maskini taifa langu TANGANYIKA.Mojawapo wewe
😂😂majitu ya ccm bhana eti hapa umeona mi ni mchuro kusema ccm wameua elimu kwny taifa hli tahira unadhan mimi ni miongon mwa vilaza mnaozalishwa mashulen huko na kujazana huko ccm maskini taifa langu TANGANYIKA.
ITV siku hizi habari zake mpaka inasikitisha...wanawashinda mpaka Channel 10..Watanzania wanaoabzisha biashara maarufu wanakutana na vikwazo lukuki...
Serikal ingekuwa na mkakati maksudi wa kuinua biashara mambo yangekuwa tofaut sana hasa upande wa ajira za uhakika..
ITV nayo inayeya
Kulikuwa na St. Mary’s ya Mbezi Beach, Tabata na Mbagala.Miaka hio ya 2000s hadi 2010s
Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda
Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare
Sijui zimeishia wapi siku hizi?