Binafsi kuna jambo linanishangaza. Mtu alipitia maumivu ya kuachwa na mzigo wa kulea mtoto peke yake, lakini bado anakutana na mwanaume leo, kesho tayari wanafanya ngono. Je, kweli hapo kuna somo amejifunza? Ngono hata Kwa kinga hapana hapana.
Kwangu mimi, ngono si jambo jepesi. Siwezi kukutana na mtu leo, kesho tufanye ngono halafu nikuone kama mke wa baadaye hapo umepunguza credit. Naamini kabla ya kufikia hatua hiyo, watu wanapaswa kufahamiana, kujenga uaminifu na kuelewa malengo ya kila mmoja. Lasivyo kama Nia ya kuolewa tena imoni ngumu mno mtagongana ila hamtaungana.