win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
looh mpka hurumağŸ¤Kwanza ni waongo waongo sana
looh mpka hurumağŸ¤Kwanza ni waongo waongo sana
Kua makini sanalooh mpka hurumağŸ¤
makini nini na wew aaahKua makini sana
Na hautakaa umjueWe mkali una akili sana; wasiwasi ndio akili mtu wangu. Kunguru muoga huishi miaka mingi.
Nakupa mbinu hii: Usipige mwanamke hujamjua. Zingatia neno "Kumjua". 😊
Binafsi kuna jambo linanishangaza. Mtu alipitia maumivu ya kuachwa na mzigo wa kulea mtoto peke yake, lakini bado anakutana na mwanaume leo, kesho tayari wanafanya ngono. Je, kweli hapo kuna somo amejifunza? Ngono hata Kwa kinga hapana hapana.
Kwangu mimi, ngono si jambo jepesi. Siwezi kukutana na mtu leo, kesho tufanye ngono halafu nikuone kama mke wa baadaye hapo umepunguza credit. Naamini kabla ya kufikia hatua hiyo, watu wanapaswa kufahamiana, kujenga uaminifu na kuelewa malengo ya kila mmoja. Lasivyo kama Nia ya kuolewa tena imoni ngumu mno mtagongana ila hamtaungana.
Wewe dogo yule dada anagawa utamu Kwa malipo so kama akikosa wakusuka usiku anapata wa kunyoa alafu na yeye anasemaga ana ndoto ya kuolewa na harusi juueh kilivyokua kimeloa ukanusa au em malizia
Hahaha ilo wazo likikuwepo sasa maana ofisi ilichafuka nilifunga nikafata spray nakuisafisha upyaUngelipiga kiberiti mkuu! Uchome watoto hao. 😊
hebu endeleza hiyo story tambara la deki kuloa,, kuhusu ndoa Mungu atampa wa kufanana nae, hauwezi kujua kilichomfanya mpaka akigawe labda akikipata atabadilika na kuwa wife material wa kuigwaWewe dogo yule dada anagawa utamu Kwa malipo so kama akikosa wakusuka usiku anapata wa kunyoa alafu na yeye anasemaga ana ndoto ya kuolewa na harusi juu
Nimeedit niliteeza kidole ikaja bilakuisha irudie comment nilimaliza yalikuwa maniihebu endeleza hiyo story tambara la deki kuloa,, kuhusu ndoa Mungu atampa wa kufanana nae, hauwezi kujua kilichomfanya mpaka akigawe labda akikipata atabadilika na kuwa wife material wa kuigwa
looh nimechekaaa, huyo dada sio msafi kabisa alf alipanga kukukomoa uache kuomba omba😅😅Nimeedit niliteeza kidole ikaja bilakuisha irudie comment nilimaliza yalikuwa manii
Dahlooh nimechekaaa, huyo dada sio msafi kabisa alf alipanga kukukomoa uache kuomba omba😅😅
enwei pole mno mwanetu kwa kushika manii ya mwanaume mwenzio
Unaweza kukubali kesho yake tu yapo yanayofichika katika saa 4 hizo ukimzoea mtu unamwelewa hata kama anaharufu ya ngoma utajikuta unajua bila hata kupima ila sio siku Moja mkuuKizazi hiki..? You gonna explain yourself tire (kwa lafudhi ya wanaijeria)
Kama uko serious na unachokisema Labda wewe ni Demisexual, na Demisexual kwa kizazi hiki we are cooked.
Nishaacha kujieleza mimi, wa kwenda aende. Mi mtu ninayemtaka namjua siku hiyo hiyo inanihitaji masaa manne tu ya serious talk, sex sasa ndio kamzozo. Zamani nilikuwa sielewi tatizo langu nini, hadi nilipokuja kuelewa.
je kama yalikua maji ya saloon? hebu tulia kwanza amalizie kama alinusa au ilikuaje kuaje
😂😂😂Itakuwa Ana nyota ya arsenal huyo hajifunzi kila akikutana na kombe
akaishia kuyashika maskiniğŸ˜ğŸ˜‚😂Ni manii hayo; angepiga kiberiti tuu. 😊
huwa nahisi kudharaulika mnoo labda kwasababu huwa si date for funny huwa napenda kutengeneza urafiki kwanza tuzoeane nijue tunadate kwa ajili ya nini vinginevyo siwezi kabisa
kama wewe tu,, asantee😊Una akili kumbe; hongera.
akaishia kuyashika maskiniğŸ˜ğŸ˜‚😂