Afrika hamjali muda, ndio chanzo cha umaskini, unakaa na Msichana wa watu kila siku unampiga dana Dana eti mnasomana tabia baada ya miaka 5 hadi 8 unaenda kuoa mtu Mwingine,, ushampotezea muda angefanya maamuzi fasta.Binafsi kuna jambo linanishangaza. Mtu alipitia maumivu ya kuachwa na mzigo wa kulea mtoto peke yake, lakini bado anakutana na mwanaume leo, kesho tayari wanafanya ngono. Je, kweli hapo kuna somo amejifunza? Ngono hata Kwa kinga hapana hapana.
Kwangu mimi, ngono si jambo jepesi. Siwezi kukutana na mtu leo, kesho tufanye ngono halafu nikuone kama mke wa baadaye hapo umepunguza credit. Naamini kabla ya kufikia hatua hiyo, watu wanapaswa kufahamiana, kujenga uaminifu na kuelewa malengo ya kila mmoja. Lasivyo kama Nia ya kuolewa tena imoni ngumu mno mtagongana ila hamtaungana.
Haha mbona arsenal washalala mkuu bado tu unawasemaItakuwa Ana nyota ya arsenal huyo hajifunzi kila akikutana na kombe
Ningemweleza nani , kakuambia nani na lini? Unatatizo la ufahamu au Leo umekunywa Savana ngapiungemueleza lengo lako mapema kwamba unataka one 9t stand ili msipotezeane mda,,
savana? ndo niniNingemweleza nani , kakuambia nani na lini? Unatatizo la ufahamu au Leo umekunywa Savana ngapi
Acha kunizingua weekend mwanana hii au na wewe unataka shot and goal no pass no cross no throw inπsavana? ndo nini
unaandika vinini? sikuelewiAcha kunizingua weekend mwanana hii au na wewe unat shot and goal no pass no cross no throw inπ
Visavanaunaandika vinini? sikuelewi
Sio kweli, acha kabisa yeye anakuwa voda fastaAfrika hamjali muda, ndio chanzo cha umaskini, unakaa na Msichana wa watu kila siku unampiga dana Dana eti mnasomana tabia baada ya miaka 5 hadi 8 unaenda kuoa mtu Mwingine,, ushampotezea muda angefanya maamuzi fasta.
Muoaji Hana Mambo mengi, akishakipenda chimbo fasta anavutia ndani
Ndo mana wanarogwa siku hizi πAfrika hamjali muda, ndio chanzo cha umaskini, unakaa na Msichana wa watu kila siku unampiga dana Dana eti mnasomana tabia baada ya miaka 5 hadi 8 unaenda kuoa mtu Mwingine,, ushampotezea muda angefanya maamuzi fasta.
Muoaji Hana Mambo mengi, akishakipenda chimbo fasta anavutia ndani
mmmh kizazi hiki hiki watu wanalombana mpaka kwenye toilet wakiwa clubπ πWe mkali una akili sana; wasiwasi ndio akili mtu wangu. Kunguru muoga huishi miaka mingi.
Nakupa mbinu hii: Usipige mwanamke hujamjua. Zingatia neno "Kumjua". π