ila huyu dada jirani yake alitaka kumkomesha aache kuomba omba,, usikute hata alienda kumgongea mlango mda wa Mechiπ π π π€Ajabu; amefeli sana mkali huyo. π
kama wewe tu,, asanteeπ
ndo maan ukanijua hata mimi sina akili kabisa, tunajuana kwa vilemba ππSina akili mie hapa. π
ndo maan ukanijua hata mimi sina akili kabisa, tunajuana kwa vilemba ππ
π π akili zako muone kwanzaKweli, mimi ni wewe pipa na mfuniko. π