Mnalifahamu hili la maasai girls high school?

Mnalifahamu hili la maasai girls high school?

yani hapo ndo ufisadi wenyewe kabisaaa. nilivyomuelewa mtoa mada ni kuwa hizo scholarship za first degree ndo haziwafikii walengwa wote. hata kama nafasi iliyoibwa akapewa mtoto wa kigogo tayari imedeny maskini mwingine kupata elimu ya chuo kikuu. halafu hvi mnadhani hawa mafisadi papa na nyangumi sijui na mafisadi tembo walianzanje????? leo nafasi moja kwa ndugu wa bishop, kesho katibu mkuu naye anataka housegirl wake apewe nafasi, mtondogoo parish worker nae anampigia pande nduguye, mwisho wa siku mlengwa hata mmoja hapati.

hiki ndicho nilichomaanisha hasa kwasababu siku zote 1+1=2+1=3
 
leo nafasi moja kwa ndugu wa bishop, kesho katibu mkuu naye anataka housegirl wake apewe nafasi, mtondogoo parish worker nae anampigia pande nduguye, mwisho wa siku mlengwa hata mmoja hapati.

Now we are talking...this is much more constructive.
 
Sasa ngoja nieleze kwa nini nasema kuwa kulikuwa na mazingira ya ufisadi. Kuna wakati hii shule ilikuwa inaongozwa kifamilia. Let me explain. Mama (mke) ni mkuu wa shule, na Baba (mume) ni mkuu wa Dayosisi. Japokuwa kulikuwa na bodi ya shule, lakini maamuzi mengi yalikuwa yanakuwa over ruled kinyume cha sheria ya utendaji. Kwa mfano kikao cha bodi ambacho mkuu wa dayosisi hakuwa member kinakutana pale shuleni pamoja na mkuu wa shule (mke wa mkuu wa Dayosisi) na kinaamua mambo x,y,z. Wana bodi wanaondoka wakijua kwamba yaliyoendelea mkutanoni ni siri na kwamba yatatekelezwa kwa sababu bodi ina mamlaka ya mwisho. Kumbe sivyo. Mkuu wa shule (mke) ananyanyua simu anamuita mkuu wa Dayosisi (mume) wanaanzisha kikao chao kingine kabisa, yale mapendekezo x,y,z yaliyotolewa kwenye bodi yanaonekana sio favorable either kwa personal interests au sababu nyingine tusizo zijua sis, kwa hiyo mkuu wa Dayosisi (Bishop) anaamua kubadilisha, anayoyataka yeye yanakuwa ndio final decision, na hiyo bodi kwa muda mrefu ilionekana ni "lame duck" kwamba haina meno.

Kutokana na hili na mengine mengi juu ya uendeshaji tata wa shule hii, ilifikia wakati wafadhili wakawa FED UP, sio utani, kwani nilikuwa nazipata hizi za moto kutoka kwa Deanna Miller, na Mch. Tellekson. So OBA wakaanza kushinikiza mkuu wa shule ambaye ni mke wa mkuu wa Dayosisi, aondoke. Shinikizo lilichukua muda, na several trips za watu wa OBA kwenda Arusha lakini hatimaye huyu mkuu wa shule alikuja ku step down. If I remember correctly, ni miaka 3 sasa tangu wabadilishe uongozi kwenye hii shule.
 
Last edited:
Nimelazimika kuchangia kidogo kutokana na kwamba hizi ni serious allegations na hilo la Concordia College naomba mleta mada uka research upya sources zako kwani hazina ukweli hata kidogo. Sio kweli Concordia College ndio mdhamini wa Maasae Girls Schools. Na kuhusu uongozi wa shule I can go back to when mke wa Bishop Laizer (Mary) akiwa mkuu wa shule hiyo. Hata hivyo alishinikizwa ku step down na wafadhili ambao ni makanisa ya kilutheri hapa Marekani kwa kutimia organization yao ya Operations Bootstrap inayoongozwa na mchungaji mstaafu Wayne Tellekson.
Ni kweli kwamba kuna baadhi ya watoto waliokuwa wanasoma pale, sielewi kwa sasa hivi kwa sababu sipo nchini watoto ambao hawakutakiwa kuwepo pale kwani lengo la shule ya Maasae Girls lilikuwa kumkomboa msichana wa kutoka kwenye jamii ya/za ufugaji kwa kumpatia elimu kutokana na ukosefu wa resources kwenye mazingira aliyokulia.


Swali la maana hapa ni je kuna ufisadi Dayosis ya mkoa wa Arusha? No doubt. Kuna kiwingu kizito pale, lakini tunapotoa shutuma at least tuwe fair na sio biased.

Thanks CH;

Hii ni open secret kwamba Maasae Girls school ilishapoteza sifa moja ya kuwa shule ya kusomesha maskini--- iligubikwa na kashfa. Miaka mitano iliyopita baadhi ya watu arusha na manyara walijaribu ku-lalamika naona ishu ikazimwa, mleta mada ameomba watu walifanyie kazi na hakusema amefanya research. kwa hiyo kama unaweza kumasidia basi tutashukuru kama una data zaidi

SWALI LAKO LA UFISADI... JIBU UMESHATOA NA CHA MAANA NI KUANGAMIZA YALIYOBAKI

ELCT WAMESHASAFISHANA KWA KIASI FULANI---SASA KAZI
 
In the 1st Place ilikuwaje hadi Mke wa Askofu apewe Ukuu wa shule??

Why?? so conflict of interest was there in the begining!

Ni kama raisi M7 alipomteua Mke wake kuwa waziri: eti huko Karamajong hakuna Mganda yoyote anapenda kuwa waziri kule!
 
In the 1st Place ilikuwaje hadi Mke wa Askofu apewe Ukuu wa shule??

Why?? so conflict of interest was there in the begining!

Ni kama raisi M7 alipomteua Mke wake kuwa waziri: eti huko Karamajong hakuna Mganda yoyote anapenda kuwa waziri kule!

Simply I don't know how and why they decided to chose huyu mama kuwa mkuu wa shule. She is a nice person lakini l doubt her leadership skills, labda ndio maana she delegated a lot of decisions to Baba Askofu.
So the decision was made kwamba mama Askofu should be the head of this institution na kumtayarisha kwa hiyo role akapewa nafasi ya kuja kusoma Management Marekani (Idaho). Issue ya uongozi imekuwa ngumu sana pale. Mtu pekee aliyemudu kuingoza hii shule japo kwa kipindi kifupi, na alikuwa very outspoken ni Jane (Tellekson) Juten, huyu mama anatoka Duluth, MN. Huyu alisaidia ku set stage (mmojawapo wa waanzilishi wa hii shule).


 
Back
Top Bottom