Nimeona nililete hapa kwa wataalamu wa mambo yetu kwa wale walio kwenye ndoa labda tayari wameshapata mtoto 1 ivi au zaidi.
Kuna wakati unakuwa na hamu sana na mama watoto mpaka unafika ule wakati unakuwa upo kileleni labda bado kama sekunde kadhaa kukamilisha taratibu mtoto anaamka na anatambaa ukingoni mwa kitanda anataka kuanguka na huku analia ambapo hubidi ukatishe kula tunda ili umuwahi mtoto umtulize apewe nyonyo ambapo utakuta wakati mwengine mtoto anataka kucheza ivi wala hana mpango wa kutulia kwa muda ule.
Hivi munakuwa muna solve vipi hili mana utakuta mara nyingi ukikutana na mama watoto labda nyakati za usiku hivi baby huamka tayari kelele kabla ya kukamilisha taratibu.
Naomba kuwasilishwa watu wa ukumbi huu
Naomba kuwasilisha