Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
1. Huyu bwana nyakati za vipindi vya kawaida kumuona shuleni ni nadra sana kwa mwezi anaweza kuhudhuria vipindi siyo zaidi ya mara 4.
2. Majukumu mengi ya kituoni mfano kusimamia mitihani ya ndani huwa hayafayi kabisa na tangu aajiriwe kajaribu mwaka Jana tu mwishoni baada ya taarifa zake kuanikwa JF.
3. Walimu toka idara yake wanamuogopa sana. Hata vipindi vikizidi wanaitana wao kwa wao kuona namna wanavyoweza kuvigawa ila siyo kumgawia yeye!
4. Aliwahi kutoa wazo wakati wa master parade walimu wote wawe wanakuwa parade. Kichekesho sasa yeye mwenyewe hata akishika zamu, anaweza onekana mara moja tu ndani ya wa wiki nzima tena napo ni Ijumaa!
5. Ana mbinu nyingi sana katika uwanja wa vita, siku akirudi kutoka kwenye mishe zake za utoro sugu mtasikia tu kwenye kikao cha chai walimu ijumaa tukutane walau tunywe soda, mbuzi pia atahusika. Ukiona hivyo mamlaka za kituo zinakuwa zimewekwa mfukoni!
6. Ndio mwalimu pekee ambaye huwa hakemewi wala kukosolewa kituoni yaani hata ngazi za mamlaka kituoni asipokuwepo watamjadili kwa ukali kweli kiasi kwamba kama ni mgeni unaweza jiuliza huyu siku akitokeza tu wanammeza. Cha ajabu sasa akitokeza tu wanaanza kujichekesha na kumuuliza maswali ya kitoto kitoto tu "asee mbona umerudi umechange sana mwili jumba siyo jumba au mwenzetu unalitaka Jimbo nini tuanze kampeni?"
7. Mchonganishi sana!
8. Kuna eneo kajitahidi sana kupiga picha na wanasiasa wakubwa, sasa kama wewe ni mkuu wa shule "wa kuja" anaweza kukuyumbisha mno maana unakuwa unahisi anaweza kukuondoa kwenye kiti chako.
KWA NINI TUMEMJADILI...
Kama tulivyotangulia kusema ni mtu wa dharura nyingi kiasi kwamba kumpata kituoni ni ngumu sana ila kipindi hiki ambacho kidato cha kwanza wanaenda kuanza kudahiliwa msije shangaa kumkuta kituoni kuanzia asubuhi mpaka usiku na pengine anaweza kuweka hata mahema ili awe analala hata uwanjani kama yupo kwenye mfungo wa maombi ya kuliombea Taifa!Kwa kifupi yeye ndie atakayekuwa mtu wa kwanza kuripoti kazini na wa mwisho kutoka.
Deals za T-shirt na nembo huwa ni zake kajimilikishia milele. Tenda hazitangazwi wazi na hii siyo haki kiukweli. Hofu ya wakubwa kituoni ikitokea kakosa tenda atakuwa anawavuruga kwenye vikao kuhusu makandokando yao hivyo huwa wanaamua tu warudishe mpira kwa kipa kujinusuru!
Bro fundisha, timiza wajibu na siyo kusubiri michongo tu ya pesa. Iwe mvua au jua 2024 tutakulipua Headquarter, we fa masiala!
NB: Hatuna ubaya nae ila tabia za kuchongaea wenzake huku yeye uwajibikaji wake ni zero hatuzipendi!