Mnamkumbuka Fikiri Madinda?

Mnamkumbuka Fikiri Madinda?

Wewe utavalishwa kangs mjini wewe umeadithiwa wala humjui vizuri!acha kuwa mnafiki kwamaneno yakimbea unaleta humu ungeuliza basikama ulihitajikujua wajii wake siyo kukurupuka na risled lakichonganishi!Nakujulisha kama ulikuwa humjui"Fikiri Madinda kabila ni Mgogo wa Dodoma,
Fikiri Madinda nimtumishi wa serikali tangu 1992,
Fikiri Madinda ni Driver wizara ya kilimo,
Fikiri Madinda anakakayake pale wizarani ni driver pia,
Fikiri Madinda nirafiki yake Ali choki na walianzisha bend pamoja ya extra music,
Fikiri Madinda alikuwa anaishi na Aisha Madinda mnenguaji wa twanga pale Sinza madukani,
Fikiri Madinda kwa sasa anafanya kazi wizara ya ushirika pale Waterfront house!Sasa wewe unasema Tamisemi dodoma waoinawapi??
Fikiri Madinda ajafulia kilichofanyika waligawana share nakila mmoja akawa mipango yake kimaisha yote niliyokwambia ndo yalivyo!!
Fikiri Madinda hakuwai kuishi Dodoma kama unavyosema anakaa mnadani ni uongo.
Lkn Serikali Si imehamia Dodoma mkuu? Sasa yeye hapa Waterfront kabaki na Wizara ya serikali ipi kama Serikali na Wizara zote ziko Dodoma?
 
Back
Top Bottom