Mnamkumbuka huyu Mwamba aliyevaa sare za jeshi kwenye mkutano wa Chadema na kupelekea kusakwa kwa udi na uvumba?

hapo kalidhalilisha vp
 
Tafsiri ya Jeshi la Wananchi ni ipi.....au hili jina ni kiini macho...pengine ni jeshi la watu fedengengsky?
 
Hawakumfunga kwenye viroka kweli huyu!!!
Afadhali mkuu umerejesha avatar picha yako ya awali na kuipumzisha ya yule mzee wa the lords must be crazy
 
Nadhani baada ya kukamatwa alikabidhiwa kwa wenye sare zao!kilichomkuta yeye na mungu wake ndo wanajua.
Wenye sare zao wakampeleka wapi?
 
"Usitutishe"....kwa sauti ya Maalim Seif Sharif Hamad.(R.I.P)
Oyaa temana na mimi niacheni niendelee kupumzika mlinitesa sana duniani kwa kunidhulumu kwenye uchaguz kwa kuniibia kura
 
Nani alikuambia kuwa jeshi ni taaluma,!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…