Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Pamoja na sifa zake zilizotukuka ila kwa hilo la hizo CBT wanamageuzi mtanishusha mbele hapo mfike wenyeweJamaa ni kielelezo cha Mageuzi, Mzalendo,game changer.
Amependeza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na sifa zake zilizotukuka ila kwa hilo la hizo CBT wanamageuzi mtanishusha mbele hapo mfike wenyeweJamaa ni kielelezo cha Mageuzi, Mzalendo,game changer.
Amependeza sana.
hapo kalidhalilisha vpJeshi wakiamua kusaka mavibaka na wendawazimu wanaovaa na kufananisha uniform zao huku yakiwa hata sungu sungu hawajacheza mnalalamika. Ona Sasa hilo jinsi linavyodhalilisha taaluma ya ujeda ambayo husotewa kwa jasho la kifo.Nashauri majeshi yote yaunde kolabo ya kusaka majitunyote yanapiga Mavazi ya majeshi yoyote kuanzia zimamoto, uhamiaji, polisi, magereza, jku, jwt, Jkt,na wale wanaolinda wanyama huko porini
"Usitutishe"....kwa sauti ya Maalim Seif Sharif Hamad.(R.I.P)
quo warrantohapo kalidhalilisha vp
Afadhali mkuu umerejesha avatar picha yako ya awali na kuipumzisha ya yule mzee wa the lords must be crazyHawakumfunga kwenye viroka kweli huyu!!!
Wenye sare zao wakampeleka wapi?Nadhani baada ya kukamatwa alikabidhiwa kwa wenye sare zao!kilichomkuta yeye na mungu wake ndo wanajua.
KWA MPALANGEWenye sare zao wakampeleka wapi?
🤣👍Afadhali mkuu umerejesha avatar picha yako ya awali na kuipumzisha ya yule mzee wa the lords must be crazy
In Africa, there is no Army of the People, instead there is an "Armies of Regimes"Tafsiri ya Jeshi la Wananchi ni ipi.....au hili jina ni kiini macho...pengine ni jeshi la watu fedengengsky?
Oyaa temana na mimi niacheni niendelee kupumzika mlinitesa sana duniani kwa kunidhulumu kwenye uchaguz kwa kuniibia kura"Usitutishe"....kwa sauti ya Maalim Seif Sharif Hamad.(R.I.P)
Tanzania hamna jeshi la wananchi, kuna jeshi la CCMMzuka Wanajamvi!
Nakumbuka ilikuwa 2010 huyu Mwamba alivaa sare za Jeshi na kupiga picha na Mwamba Lema na alitekuwa mwamba Joshua Nassari kwenye mkutano wa Chadema.
Kesho yake picha zake zikawa kwenye magazeti na kupelekea msako na kukamatwa kiteto.
View attachment 2744355View attachment 2744356View attachment 2744357View attachment 2744358
Hivi hakuuawa huyu kweli ?
Nani alikuambia kuwa jeshi ni taaluma,!?Jeshi wakiamua kusaka mavibaka na wendawazimu wanaovaa na kufananisha uniform zao huku yakiwa hata sungu sungu hawajacheza mnalalamika. Ona Sasa hilo jinsi linavyodhalilisha taaluma ya ujeda ambayo husotewa kwa jasho la kifo.Nashauri majeshi yote yaunde kolabo ya kusaka majitunyote yanapiga Mavazi ya majeshi yoyote kuanzia zimamoto, uhamiaji, polisi, magereza, jku, jwt, Jkt,na wale wanaolinda wanyama huko porini
Hivi yule mangi alistaafuKamanda wao kikosi Cha anga
Anadunda kitaa
Geuka tu mwenyewePamoja na sifa zake zilizotukuka ila kwa hilo la hizo CBT wanamageuzi mtanishusha mbele hapo mfike wenyewe