Mzuka Wanajamvi!
Nakumbuka ilikuwa 2010 huyu Mwamba alivaa sare za Jeshi na kupiga picha na Mwamba Lema na alitekuwa mwamba Joshua Nassari kwenye mkutano wa Chadema.
Kesho yake picha zake zikawa kwenye magazeti na kupelekea msako na kukamatwa kiteto.
UPDATE:
KUMBE ALIHUKUMIWA NA KUFUNGWA JELA MIAKA MINNE
👇🏿👇🏿👇🏿
www.jamiiforums.com

'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne
Luteni Jenerali Ndomba ambaye ni Ofisa wa Jeshi, amekuwa DC na RC akiwa afisa wa Jeshi (Luteni Kanali) hakuna aliyesema kitu. Moja kati ya majukumu yake akiwa DC ilikuwa kueneza itikadi ya CCM, lakini bado akiwa mwanajeshi, tena afisa wa juu. Tunaona jinsi ambavyo Mwanajeshi Ndomba, katolewa...