Mnamkumbuka huyu Mwamba aliyevaa sare za jeshi kwenye mkutano wa Chadema na kupelekea kusakwa kwa udi na uvumba?

Mnamkumbuka huyu Mwamba aliyevaa sare za jeshi kwenye mkutano wa Chadema na kupelekea kusakwa kwa udi na uvumba?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka Wanajamvi!

Nakumbuka ilikuwa 2010 huyu Mwamba alivaa sare za Jeshi na kupiga picha na Mwamba Lema na alitekuwa mwamba Joshua Nassari kwenye mkutano wa Chadema.

Kesho yake picha zake zikawa kwenye magazeti na kupelekea msako na kukamatwa kiteto.

9709_209331452537196_801742473_n.jpg
images.jpeg
Askari.JPG
images (1).jpeg


UPDATE:

KUMBE ALIHUKUMIWA NA KUFUNGWA JELA MIAKA MINNE

👇🏿👇🏿👇🏿

 
Nadhani baada ya kukamatwa alikabidhiwa kwa wenye sare zao!kilichomkuta yeye na mungu wake ndo wanajua.
 
Jeshi wakiamua kusaka mavibaka na wendawazimu wanaovaa na kufananisha uniform zao huku yakiwa hata sungu sungu hawajacheza mnalalamika. Ona Sasa hilo jinsi linavyodhalilisha taaluma ya ujeda ambayo husotewa kwa jasho la kifo.Nashauri majeshi yote yaunde kolabo ya kusaka majitunyote yanapiga Mavazi ya majeshi yoyote kuanzia zimamoto, uhamiaji, polisi, magereza, jku, jwt, Jkt,na wale wanaolinda wanyama huko porini
 
Back
Top Bottom