Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

Tofauti yenu na ccm ni moja wale ni mboga mboga nyie ni ugoro tupu.
Mlishangalia chalamila kutumbuliwa baadae kalidishwa mkapiga kimya sasa mko kwa makonda mnashangilia kutolewa chamani na kuletwa serikalini.
Usiku tena umeibukia kwingine..,
Bora hata ccm tunajua ajenda yao ni kula kwa urefu wa kamba zai.
Ninyi ajenda yenu ni ipia hasa nahisi hata mbowe hajui ajenda ya chama chake
Mkuu ,umemwaga mboga!
 
Yaani CHADEMA ninyi ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania maana hoja zenu ni za kitoto kitoto tu na umbea umbea tu.
Mkuu, chadema ilishajifia long time ago kimebaki kiwiliwili tu.
Tunawashauri walete hoja za msingi zenye kusisimua bongo za watu kujadili, lakini wapi. Wao wamekalia vioja na porojo za kimbeambea tu.
Too bad 👎 😪
 
Halafu wewe waweza kuwa mwanaccm wa elfu 1 kupambana na mimi bila mafanikio , wenzio wote wamekimbia , na sina shaka na wewe utakimbia na kuniacha nikitamba kwa hoja
acha upotoshaji,
umewahi kua na hoja wap bana kamanda 🐒

kuzungumzia watu badala ya masuala ndio hoja?🐒

wa saa kama huo mie nautoa wap wa kuzungumzia watu, akati yapo masuala mengi muhimu sana na mazito ya kitaifa na kimataifa, ambayo yanahitaji majadiliano ya watu wenye akili kubwa na wasio na mihemko 🐒

ng'ang'ana na hao hao ati elfu1🤣 kupambana nao kujadili watu...

yaani miaka yote hiyo tangu ujiunge JF unapambana na elfu1 tu 🐒

Badilika na uwe na uwezo wa kuinfluence watu zaidi ya hao na sio kupambana. kupambana hakuna tija wala manufaa yoyote,
Achana na mihemko wala ghadhabu, achana na kuyaporomosha, kudhihaki wala kumdharau mtu, jadili kwa staha na ubadili fikra za jamii kwa manufaa ya jamii mzima 🐒
 
Tofauti yenu na ccm ni moja wale ni mboga mboga nyie ni ugoro tupu.
Mlishangalia chalamila kutumbuliwa baadae kalidishwa mkapiga kimya sasa mko kwa makonda mnashangilia kutolewa chamani na kuletwa serikalini.
Usiku tena umeibukia kwingine..,
Bora hata ccm tunajua ajenda yao ni kula kwa urefu wa kamba zai.
Ninyi ajenda yenu ni ipia hasa nahisi hata mbowe hajui ajenda ya chama chake
Punguza bangi mbichi.
 
Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.

Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?

View attachment 2952259
Kwa hiyo ccm wanaweza kuongoza dunia ili dunia yote iwe masikini kama Tanzania?
 
Usishangae!msingi wa chama chetu CCM ni jeshi!niliona Clip ya zamani kidogo ya comrade paulo kagame mwanaccm ikisema "Msingi wa chama ni jeshi,unaelewa maana ya msingi wa chama" Kwa hiyo jeshi la kwanza la Tanzania baada ya like la kikoloni liliundwa kupitia uvccm!!

Pia asili ya CCM ni Rumi kupitia imani kuu inayotawala Dunia kupitia Vatican,kupitia papa,kwahiyo yupo sahihi kabisa kwamba ccm inatawala Dunia!!

Kanali lubinga alikua sahihi!!
 
Kwani umekwenda wapi na wapi kumtafuta ambako hujamkuta? Ulikuwa unamtaka wa nini.

Kwani umesikia familia yake ikiomba msaada popote pale wa kumtafuta.

Yaani CHADEMA ninyi ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania maana hoja zenu ni za kitoto kitoto tu na umbea umbea tu.

Sasa ndio hoja gani hiyo? Ndio mahitaji ya watanzania hayo?

Aliyewaloga CHADEMA aliwaonea sana maana aliwaroga wakati tayari ninyi ni vichaa na manyumbu[emoji2][emoji2][emoji2]
Kichaa mamako aliyekuzaa wewe bila kumjua babako ndiyo maana umekosa maadili,unatukana mamilioni ya watu kuwaita vichaa badala ya kumjibu mleta hoja. Kweli mtoto wa haramu ni haramu. Ungepata malezi ya baba usingekuwa kama ulivyo leo.
 
Mkuu erythrocyte, nikushauri, achana na politics itakupotezea muda wako, unaowapigia debe na kuwashabikia wanakula bata na familia zao, wewe unajipa mastress huku jamiiforum.
Na nyie mnaoitetea CCM wanapokula keki ya nchi na familia zao nyie mnapata nini zaidi ya kujidhalilisha tu humu.
 
Back
Top Bottom