Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

Mkuu, chadema ilishajifia long time ago kimebaki kiwiliwili tu.
Tunawashauri walete hoja za msingi zenye kusisimua bongo za watu kujadili, lakini wapi. Wao wamekalia vioja na porojo za kimbeambea tu.
Too bad [emoji107] [emoji25]
Aliyejaribu kuiua Chadema tena kwa kutumia serikali nzima na vyombo vyake vyote kashindwa hadi akaamua kufa kibudu na kufukiwa kule chato.
 
O
Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.

Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?

View attachment 2952259
Hizi ndio hoja za chadema,chama cha mbowe.kwakweli hawa hawastahili kupata hata kijiji kimoja kuongoza.
 
Ni bora tu ccm iendelee, chadema kuna udini na ukabila, hilo ndio tatizo
..
FB_IMG_1612420221935.jpg
 
Kwani umekwenda wapi na wapi kumtafuta ambako hujamkuta? Ulikuwa unamtaka wa nini.

Kwani umesikia familia yake ikiomba msaada popote pale wa kumtafuta.

Yaani CHADEMA ninyi ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania maana hoja zenu ni za kitoto kitoto tu na umbea umbea tu.

Sasa ndio hoja gani hiyo? Ndio mahitaji ya watanzania hayo?

Aliyewaloga CHADEMA aliwaonea sana maana aliwaroga wakati tayari ninyi ni vichaa na manyumbu😃😃😃
A lot of unhelpful explanations.
 
Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.

Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?

View attachment 2952259
Mungu aendelee kumrehemu, atakuwa yupo kwenye insta anangalia mapokezi ya BASHITE Arusha.
 
Kwa wasio Jua mwaka kuelekea 2015 kabla ya uchaguzi wa CCM JWTZ waliamua kabisa hawataongozwa na mtu kama Lowassa otherwise watajuwa nchi itakuwaje.

Huyu Kanali alipita nchi nzima kuwaambia Askari wote kuwa Jeshi halimtaki mtu kama Lowassa na huyu akawa mmoja ya Watu walimfanya Magufuli akawa pale.
 
Back
Top Bottom