Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

Mkuu ,umemwaga mboga!
 
Mkuu nakutaarifu tu , Makonda Katumbuliwa , Aibu kweli yaani ! Arusha tunamsubiri aje na Punda au Gari la Taka πŸ˜†πŸ˜†
Hahaha, Lema juzi mavi yamegonga chupi

Kule Makonda Huku Sabaya Senior

Jamaa inabidi akimbilie kule akafugwe kama Kitimoto
 
Yaani CHADEMA ninyi ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania maana hoja zenu ni za kitoto kitoto tu na umbea umbea tu.
Mkuu, chadema ilishajifia long time ago kimebaki kiwiliwili tu.
Tunawashauri walete hoja za msingi zenye kusisimua bongo za watu kujadili, lakini wapi. Wao wamekalia vioja na porojo za kimbeambea tu.
Too bad πŸ‘Ž πŸ˜ͺ
 
Halafu wewe waweza kuwa mwanaccm wa elfu 1 kupambana na mimi bila mafanikio , wenzio wote wamekimbia , na sina shaka na wewe utakimbia na kuniacha nikitamba kwa hoja
acha upotoshaji,
umewahi kua na hoja wap bana kamanda πŸ’

kuzungumzia watu badala ya masuala ndio hoja?πŸ’

wa saa kama huo mie nautoa wap wa kuzungumzia watu, akati yapo masuala mengi muhimu sana na mazito ya kitaifa na kimataifa, ambayo yanahitaji majadiliano ya watu wenye akili kubwa na wasio na mihemko πŸ’

ng'ang'ana na hao hao ati elfu1🀣 kupambana nao kujadili watu...

yaani miaka yote hiyo tangu ujiunge JF unapambana na elfu1 tu πŸ’

Badilika na uwe na uwezo wa kuinfluence watu zaidi ya hao na sio kupambana. kupambana hakuna tija wala manufaa yoyote,
Achana na mihemko wala ghadhabu, achana na kuyaporomosha, kudhihaki wala kumdharau mtu, jadili kwa staha na ubadili fikra za jamii kwa manufaa ya jamii mzima πŸ’
 
Punguza bangi mbichi.
 
Kwa hiyo ccm wanaweza kuongoza dunia ili dunia yote iwe masikini kama Tanzania?
 
Usishangae!msingi wa chama chetu CCM ni jeshi!niliona Clip ya zamani kidogo ya comrade paulo kagame mwanaccm ikisema "Msingi wa chama ni jeshi,unaelewa maana ya msingi wa chama" Kwa hiyo jeshi la kwanza la Tanzania baada ya like la kikoloni liliundwa kupitia uvccm!!

Pia asili ya CCM ni Rumi kupitia imani kuu inayotawala Dunia kupitia Vatican,kupitia papa,kwahiyo yupo sahihi kabisa kwamba ccm inatawala Dunia!!

Kanali lubinga alikua sahihi!!
 
Kichaa mamako aliyekuzaa wewe bila kumjua babako ndiyo maana umekosa maadili,unatukana mamilioni ya watu kuwaita vichaa badala ya kumjibu mleta hoja. Kweli mtoto wa haramu ni haramu. Ungepata malezi ya baba usingekuwa kama ulivyo leo.
 
Mkuu erythrocyte, nikushauri, achana na politics itakupotezea muda wako, unaowapigia debe na kuwashabikia wanakula bata na familia zao, wewe unajipa mastress huku jamiiforum.
Na nyie mnaoitetea CCM wanapokula keki ya nchi na familia zao nyie mnapata nini zaidi ya kujidhalilisha tu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…