CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Aliyejaribu kuiua Chadema tena kwa kutumia serikali nzima na vyombo vyake vyote kashindwa hadi akaamua kufa kibudu na kufukiwa kule chato.Mkuu, chadema ilishajifia long time ago kimebaki kiwiliwili tu.
Tunawashauri walete hoja za msingi zenye kusisimua bongo za watu kujadili, lakini wapi. Wao wamekalia vioja na porojo za kimbeambea tu.
Too bad [emoji107] [emoji25]
Aliyeuliza swali co ccm, sasa atamtekaje?ukishajua alipo unataka ukamteke au?
😆😆😆😆😆Aliyejaribu kuiua Chadema tena kwa kutumia serikali nzima na vyombo vyake vyote kashindwa hadi akaamua kufa kibudu na kufukiwa kule chato.
Hizi ndio hoja za chadema,chama cha mbowe.kwakweli hawa hawastahili kupata hata kijiji kimoja kuongoza.Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.
Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?
View attachment 2952259
nywele zake zimedinda
Yeye nae anauliza makene yuko wapi?Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.
Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?
View attachment 2952259
Hilo tayari limejibiwa humu jfYeye nae anauliza makene yuko wapi?
Sio vibaya nawe ukatufahamisha!Hilo tayari limejibiwa humu jf
Na nyie mnaoitetea CCM wanapokula keki ya nchi na familia zao nyie mnapata nini zaidi ya kujidhalilisha tu humu.
..Ni bora tu ccm iendelee, chadema kuna udini na ukabila, hilo ndio tatizo
A lot of unhelpful explanations.Kwani umekwenda wapi na wapi kumtafuta ambako hujamkuta? Ulikuwa unamtaka wa nini.
Kwani umesikia familia yake ikiomba msaada popote pale wa kumtafuta.
Yaani CHADEMA ninyi ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania maana hoja zenu ni za kitoto kitoto tu na umbea umbea tu.
Sasa ndio hoja gani hiyo? Ndio mahitaji ya watanzania hayo?
Aliyewaloga CHADEMA aliwaonea sana maana aliwaroga wakati tayari ninyi ni vichaa na manyumbu😃😃😃
Mungu aendelee kumrehemu, atakuwa yupo kwenye insta anangalia mapokezi ya BASHITE Arusha.Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.
Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?
View attachment 2952259