Guselya Ngwandu
Member
- Sep 17, 2021
- 39
- 84
Halafu kinachonisikitisha ni namna mnavyotumia Ukabila, eti tuonekane Wasukuma na watu wa Kanda ya Ziwa kwa ujumla hatumtaki Rais wetu. Ni nani aliyewaroga ninyi?
Juzi hapa Joel Luhaga Mpina katoka hadahrani akiwa amekula maharage, akaanza kuropoka maneno. Anamshambulia Rais Samia na Serikali yake, na kujificha kwenye kichaka cha kwamba anamshambulia January Makamba. Yes anafahamika kwamba Luhaga Mpina ana ugomvi binafsi na Makamba. Wakiwa Wizarana ya Mazingira, Mpina alikuwa anataka kumdhibiti Waziri wake (kwa maana Mpina alikuwa Naibu wa January), halafu ionekane kwamba Janu ni Waziri kivuli tu halafu yeye Mpina ndiye muwakilishi wa wa Rais pale. Mpina alishindwa kufanya hivyo, na kubwa alilokuwa anafanya ni kumchonganisha Waziri na Hayati Magufuli.
Lakini pia Joel Luhaga Mpina aliutaka Urais 2015, na licha ya kwamba alikuwa dhaifu mno, alimshambulia January mara kibao.
Kina Luhaga Mpina ambao wameshindwa kujificha wasiweze kuoneakana kuwa wao ni mtandao maalum wenye hila dhidi ya Rais Samia, wameanza kujitokeza. Watu wote wanaowatumia wana lafudhi ya kwetu Mwanza. WAMEKOSA HATA AKILI YA KUFICHA JAMBO HILI?
Kimsingi, kelele zao kubwa ni kuonesha kwamba maisha yamekuwa magumu sana, Serikali ya Rais Samia haifanyi lolote katika nishati, na lengo kubwa la kufanya hivyo ni kuondoa imani ya wananchi kwa Rais Samia.
MAKAMBA NI CHAMBO TU.
Ushauri kwa kina Luhaga Mpina : Hiyo vita ya kutaka kujua nani ni Rais baada ya Samia, mmeianza mapema wazee wangu. Hata kama mnamhofia January Makamba kwa kuwa ndiye aliyetajwa saana kuwa Rais ajaye, baasi mnapomshambulia tumieni akili yawe mashambulizi kwake na sio kwa Rais Samia kama mnavyofanya sasa.